Nipo India week ya pili sasa. Jana nimekaribishwa chakula chao kinaitwa
Andra Chilli Chicken. Kina pilipili hatari na chapati nyepesi hivi nazo unachovya kwenye sauce ya pilipili. Nlipenda nikala maana mi ni mlaji sana wa pilipili mbuzi nikiwa Dar.
Sasa issue ilikuja kwenye kupata choo. Kwa...