Hello wakuu,
Kuna kitu nimekiona, kipo na mara nyingi najiwazia nakuwa na wasiwasi juu ya afya zetu kama jamii. Hii tabia ya kula kila mahali, mazingira yoyote bila kujua namna chakula kilivyoandaliwa.
Ukipita kwenye mikusanyiko na sehemu zilizochangamka utakuta meza zimewekwa, kuna kila aina...