Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyingine zozote zilizopita...
Kinaungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa. Na kwahivyo...