Utakuwa ni Mdahalo muhimu sana kujua yaliyomo yamo
Chief Odemba ndiye ataongoza Mdahalo huo kupitia Medani za Siasa Star tv
Ni Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki wakiwemo Dr Nchimbi, John Mnyika, Ado Shaibu na wengine
Muda ni saa 3:30 Usiku hadi saa 5 :30 Usiku...
Huwa vina kutana na hali ya kushangaza sana, ngumu na tofauti kabisa na majivuno, majigambo na ujasiri wa mitandaoni..
Field huwa vinakuwa vidogo zaidi ya piritoni, dhaifu sana, vimenyong'onyea mno, havina watu wala hamasa hata kidogo. Wao hushangaa wananchi na wananchi huwashangaa wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.