Ofisi ya msajili wa Vyama vya Siasa nchini inadaiwa kuongeza gharama za usajili kwa asilimia 9,900, gazeti la JAMHURI limeelezwa.
Awali, gharama za usajili zilikuwa ni Sh 25,000 kwa usajili wa muda na Sh 50,000 tu kwa usajili wa kudumu, lakini sasa taarifa zinadai kuwa gharama wa muda...