Vyama vya kufa na kuzikana havina tija kwa muhusika anayechangia, kwa sababu atasubiriwa afe yeye au ndugu na jamaa ndipo chama kianze mchakato wa kumzika.
Nilikuwa nashauri, kwa nini hivi vyama visisomeke, Kuuguzana na kuzikana? Ikiwa na maana ya kupigania uhai wa mwanachama, ambapo ndio...