Kama hutuwezi kuvumiliana katika hili basi hakuna haja ya kuwa na vyama vingi
Shabiki wa YANGA na Simba wanapata huduma sawa na hakuna kati Yao anaeoneka si BINADAMU sahihi
Lakini Leo inafikia hatua ukiwa chama Cha upinzani unaonekana mpinga maendeleo mleta vita mtu usie stahili katika jamii...
Watanzania wana ongea ongea sana maneno mengi, lawama nyingi kwa serikali iliyopo madarakani(CCM) Ni jambo zuri kwa sababu ni haki yao na mdomo ni mali yao.
Lakini Watanzania wengi kujifanya kwao sijui wazalendo, wana uchungu sana na nchi ni maigizo tu ya kukosa vipande vya mate katika keki ya...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kipo tayari kuunganisha nguvu na vyama vingine vya siasa pamoja na taasisi mbalimbali ili kuhakikisha vinapambania uwepo wa uchaguzi huru na haki mwaka huu.
Akizungumza leo Februari 23 kwenye Kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho Kiongozi wa ACT Wazalendo...
Tangu nchi hii iingie kwenye siasa za vyama vingi kumekuwa na kanyaga twende ya vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya siasa zao kwa uwanja usio sawa. Hadi leo,chama tawala kimeweka mazingira magumu mno kwa vyama husika kufanya siasa ya kweli ili kuweza kupata mbadala wa chama tawala.
Iko wapi njia...
Salama kabisa!
Inashangaza Sana. Au ndio Elimu za kikasuku. ELIMU za kukariri. Unakuta mtu na elimu yake Kabisa umri umeenda lakini anashindwa kutofautisha Mwanasiasa na Mwanaharakati. Anashindwa kuelewa MUKTADHA WA mtu kuwa mwanasiasa na kuwa Mwanaharakati.
Kwa mazingira ya nchi nyingi za...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, ametolea ufafanuzi madai ya baadhi ya watu wanaoishutumu TBC kwa kutovialika baadhi ya vyama vya upinzani, ikiwemo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kushiriki mijadala inayohusu siasa.
Akijibu shutuma...
Kanuni ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu inasema kuwa hapatakuwa na mgombea kupita bila kupingwa na hivyo itabidi apigiwe kura ya hapana au ndiyo.
Leo nimemuona Tundu Lissu akiwafundisha wapiga kura wa Nyamongo - Tarime kuwa siku ya uchaguzi wampigie mwenyekiti zliyepita bila mpinzani...
Inawezekana kabisa nia ya 4RS ipo dhahiri kupitia CCM Lakini ni vyema vyama vyote kuzingatia taratibu tulizojiwekea katika uchaguzi.
Inashangaza mgombea umeelezwa wazi kuwa iwapo hujatendewa haki kata rufaa
Nenda kwenye mamlaka ya kiuchaguzi pigania haki yako halafu badala ya kufanya hivyo...
Binafsi naamini Tanzania Mpya itatengenezwa kwa kuudhoofisha mfumo imara wa CCM na kupata katiba Mpya.
Hayati Magufuli alijaribu mpaka wana CCM wengi wakamchukia, wapinzani hawakumuelewa na yeye akaamua kuwabadilikia .
Laiti kama Upinzani ungezungumza lugha Moja na Magufuli ndani ya kipindi...
Salaam Wakuu,
Hadi sasa hivi vyama vyama zaidi ya 10 vya Upinzani venye nia ya kuiondoa CCM madarakani, vipo kimya kana kwamba hakuna kinachoendelea. Je, vimefueahhishwa na mchakayo wa Uchaguzi Serikali za Mitaa?
Nawaomba vyama vifuatavyo vijipambanue kuunga mkono au kutounga mkono Mchakato...
Kumekuwa na Sintofahamu kuhusu mchakato wa baadhi ya vyama vya siasa kupata wawakilishi kuelekea uchaguzi wa serekali kuu na uchaguzi wa mwakani.
Vyama vingi vya siasa vimekua vikilalamika wagombea wao kuenguliwa kwa kukosa sifa za kugombea kwenye Chaguzi hizo, japo madai haya bado...
Inavoonekana CCM wana utaalamu wa hali ya juu sana katika kucheza rough za uchaguzi.
Na dalili za wazi tunaziona kwenye chaguzi za kura za maoni ndani ya chama, na kama haufikiri kwa kina unaweza kudhani zile ni rough ndani ya CCM, lakini ukweli ni kwamba lile ni tangazo la wazi kwa upinzani...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu ametoa rai kwa CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani nchini kuungana kupigania mazingira ya kidemokrasia ikiwemo Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, mageuzi ya Jeshi la Polisi na uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zake, ambapo amesema kuwa...
Hivi ukumuuliza John Mnyika, Tundu Lisu au Mbowe anaamini katika nini na ana ideology gani hata hajui. Yeye au wao ni kuangalia tu wafanye fujo namna gani ili wasikike.
Nchi zingine kama marekani kuna ideologies kama left wing politics au right wing politics hivyo wapiga kura wanakuwa...
Hata iweje wapinzani wanabaki kuwa wapinzani tu.hawana zuri bali ni watumia fursa tu.Ni mafisi wanaosubiri mfupa.
Hawana sera na hawataki kujielekeza kwenye hoja ya kuikwamua nchi kutoka kwenye makucha ya kikoloni.
wapinzani ni zao la ukoloni. Hata wapewe nini watabaki hivyo tu.
Je...
My Take
Wapinzani wa Tanzania ni uchwara na hawajitambui .
👇👇
"Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetekeleza miradi mingi ya maendeleo hasa kwenye Jimbo letu la Ubungo ndio sababu tunasema wapinzani wanauza malalamiko lakini sisi CCM tunauza mafanikio" Prof. Kitila...
Ni muhimu sana wakafanya tafiti za kutosha na kuibua sera, mipango mikakati, na uelekeo mahususi utakao washawishi wananchi wengi zaidi na kukonga nyoyo zao, na hapo ndipo watakua na maana, uhalali na nguvu ya kupambania wananchi.
Na sio kukurupuka kama ilivyo sasa kwa mfano kama Chama cha...
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema:
Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa...
CHADEMA,ACT-WAZALENDO,CUF,NCCR-MAGEUZI ni vyama vya siasa vilivyo kosa sera halisi kwa watanzania ndio maana wameshindwa kunadi sera zao kwa watanzania kupitia vyombo vya habari kwa kujificha kwenye HOJA ya kutokuhudhuria kwa katibu mkuu wa ccm kwenye mdahalo*
_Tumeona nchi Kama Marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.