vyama vya ushirika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rais Samia ameagiza Wizara ya Kilimo kuisimamia kwa ukaribu Sekta ya Ushirika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameagiza Wizara ya Kilimo kuisimamia kwa ukaribu Sekta ya Ushirika ili uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi uweze kufanywa na Vyama vya Ushirika. Rais Samia ametoa agizo hilo leo katika kikao na...
  2. Naibu Waziri Silinde: Vyama vya Ushirika Vijijini ombeni Uwakala wa kusambaza mbolea

    Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde (Mb), amevitaka Vyama vya Ushirika vijijini kuendeleea kuomba uwakala wa kusambaza mbolea katika maeneo ili kuweza kuwafikia wakulima kwa wakati. Amesema wakati wa ufunguzi wa Siku ya Ushirika Duniani (SUD) katika viwanja vya Nanenane vilivyopo Ipuli...
  3. A

    KERO Tunduru: Vyama vya Msingi vinachelewesha malipo ya wafanyabiashara wa mazao

    Tabia hiyo inatajwa kuwa endelevu kwa vyama hivyo kutolipa kwa wakati pesa za wauza mazao hao. Minada inapigwa kila wiki ndani ya wilaya hiyo lakini malipo ya pesa katika mnada husika hazilipwi na kupiga mnada mwingine ambao unashuka bei. Wilaya hii imekuwa tofauti na wilaya nyingine zilizopo...
  4. R

    SoC04 Vyama Vya Ushirika kwa Wafugaji

    Utangulizi: Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya pili katika bara la Afrika kwa kuwa na idadi kubwa ya mifugo ikitanguliwa na Ethiopia,Hata hivyo pamoja na wingi huo wa mifugo lakini ufugaji wake mwingi umekuwa wa kienyeji, Sifa inakuwa kuwa na mifugo mingi lakini ufugaji huo siyo wa...
  5. R

    Serikali imechelewa kulipa vyama vya ushirika fedha zao, wana ushirika waanza kulalamika kushindwa kukopeshana kwa ukosefu wa fedha

    Ukikaa kwenye gambe lazima uwe na akili nyingi kama siyo maarifa. Walevi sometimes hatuna siri na tukipayuka tunaaminigi watu wote wameziba masikio. Nimesikia mjadala kwamba serikali imechelewesha kulipa vyama vya ushirika fedha zao. Wanachama wamekuwa wakali kwa kukosa fedha za sikukuu...
  6. T

    Vyama vya Ushirika wa Kuweka na Kukopa punguzeni sherehe

    Vyama vya ushirika wa kuweka na kukopa punguzeni sherehe. Mnazo sherehe nyingi kuliko kubuni mikakati mbali mbali ya kuondokana na umaskini. Angalia mabenki wanavyowashangaa. Kila mwaka sherehe sijui jukwaa la ushirika la wapi, umoja wa afrika mashariki, umoja wa vyama vya afrika, umoja wa...
  7. Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha

    Viongozi wa vyama vingi vya Ushirika wa zao la kahawa Wilayani Mbinga wanafanya kazi kwa lengo la kujinufaisha wao wenyewe badala ya wakulima wa zao hilo. Wakulima wa zao la Kahawa wanafanya kazi wakati wa mvua na jua kwa kipindi cha mwaka mzima, lakini kwa asilimia kubwa wanaonufaika ni...
  8. Changamoto za Vyama vya Ushirika katika Kilimo cha Miwa Kilombero

    Habari Wakuu, Mimi ni mkulima wa Miwa katika bonde la Kilombero, katika bonde hili huwa tunalima Miwa na kuuza kwa kampuni ya sukari Kilombero. Kwetu huku hili ni zao kuu la kibiashara Kama ilivyo korosho Mtwara. Sasa Basi nimekuja hapa kueleza changamoto tuzipatazo sisi wakulima hivyo kuweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…