Habari zenu watumishi wenzangu,
Naomba kufahamu tamko kutoka kwa vyama vya wafanyakazi kuhusu kwamba mwaka huu kuna annual increment au laa ili watu tujue hamsini zetu tunaziomba vipi, na mkataba wetu na serikali kuhusu annual increment umekaaje?
Pia soma: Mishahara haijapanda hata senti moja...
Kuna kipindi Vyama vya Wafanyakazi vilikuwa vina nguvu sana na ndio vilikuwa vinaset agenda; lakini ni muda sasa kutokana na wahitaji wa ajira kuwa wengi kuliko uhitaji vyama hivi havina meno tena. Swali linakuja ni vipi Vyama hivi vinaweza kuadapt ? Je ifike wakati badala ya kuwa na Vyama vya...
Asalaam Aleykum.
Kwa kweli kama kuna watu wana maisha magumu nchi hii, basi ni wafanyakazi. Wengi wao mishahara haijapanda kwa muda mrefu huku gharama za maisha zikipaa kila siku na viongozi wao wa vyama vya wafanyakazi wapo wapo tu kazi kuiba michango ya wafanyakazi wenzao wanayokatwa kila...
Kuelekea maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani,wafanyakazi nchini wako kwenye mjadala wa kikokotoo,bima ya afya,nyongeza ya mishahara,kupanda n.k. huku wakikosa umoja na mtetezi atakayesimama kuwasemea ili kufika pale wanapotaka.
Kwa miaka kama tisa au kumi tangu utawala wa Rais...
Kwa muda mrefu nimefanya personal study kuhusu ubora na dhima ya vyama vya wafanyakazi Tanzania vikiongozwa na chama mama TUKTA na kuja na hitimisho kuwa , VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA NI KANSA KWA WAFANYAKAZI. Kwa kuangalia haya machache ni dhahiri kuwa msaada wake kwa wafanyakazi ni sawa...
Kelele zimekuwa nyingi kuhusu kikokotoo, hamna kauli dhabiti iliyotoka toka kwa "Vyama vya Wafanyakazi".
Kazi ya hivi vyama binafsi siioni zaid ya kuvalishwa sare na kuandamana Mei Mosi, serikali tafadhali ongeza kikokotoo mara buku hadi akili ziwakae!
Kila mtu analalamikia chumbani kwake...
Ni aidha ni utamu wa Makato ya wafanyakazi, yamekolea na kupata walaji mpaka huko juu au Spika Tulia hajui chochote kuhusu sheria ya ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004.
Ila inasikitisha Kwasababu Tulia ni mwanasheria na amewahi kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali.
Hivi kweli, leo...
CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa.
Je,!Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi.
Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
72.-(1) Mkataba unaomlazimisha mfanyakazi kuwa
mwanachama wa chama cha wafanyakazi hauna nguvu za kisheria.
(2) Chama cha wafanyakazi kinachotambuliwa na mwajiri
wanaweza kufikia makubaliano ya pamoja yanayotoa duka la uwakala.
(3) Mahitaji ya makubaliano ya duka la uwakala linalobana ni:
(a)...
KUJIUNGA VYAMA VYA WAFANYAKAZI NI HIARI, KWANINI WALIMU WANALAZIMISHWA KUJIUNGA VYAMA VIWILI VIWILI
"Je, ni faida gani ambayo wafanyakazi wanapata kupitia uwekezaji wa fedha wanazokatwa na vyama vya wafanyakazi"? - Mhe. Neema Gelard Mwandabila, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe
"Faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.