Maji ni muhimu sana kwa maisha ya viumbe hai.
Sasa inapotokea huduma hii haipatikana tena kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi vya maji kama Tanzania, natatizika sana moyoni mwangu.
Wenzangu watanzania weusi mliopewa dhamana ya kuzisimamia rasilimali za nchi hii basi niwaombe tu kuwa mtimize...
Wakuu salam,
Chalamila ameelezea kinachopelekea ukosefu wa maji kwa wakazi wa mkoa wa Dar katika ziara ya Majaliwa wilaya wa Temeke iliyoanza leo Oktoba 5, 2024.
"Mahitaji ya maji katika mkoa wa Dar kwa siku ni mita za ujazo laki sita na themanini na tano sawa na lita milioni sit ana themanini...
“Mnakumbuka wakati wa kampeni, tuliahidi kumtua ndoo mama kichwani. Sasa tumekwenda kuifanyia kazi ahadi ile. Tumeifanyia kazi kwa kusambaza miradi ya maji nchi nzima. Kama mnavyoona tulivyofanya Ruvuma na nchi nzima ni hivyo hivyo. Kwa hiyo tunatarajia ikifika mwaka kesho 2025 tuwe tumetimiza...
Kufikia Tanzania tuitakayo ni lazima kuhakikisha kuwa Vyanzo vikuu vya maji vinatunzwa na kulindwa ipasavyo kwakuwa Nchi inaweza kuweka malengo pamoja na mipango madhubuti kabisa lakini bila mpango mkakati juu ya suala la vyanzo vya maji ikashindwa kufikia malengo kwakuwa vyanzo vya Maji katika...
Tanzania ni nchi ambayo inahamasisha sana katika utunzaji wa mazingira. Maeneo ya miji mikubwa kama DAR ES SALAAM, ARUSHA na MWANZA wanapambana ipasavyo kuhakikisha mazingira yanakuwa safi, na hata viongozi wa nchi wanahimiza sana katika swala nzima la mazingira.
Licha ya kupambana kwa ukubwa...
Changamoto ya upatikanaji wa maji katika maeneo ya mijini ina vijijini inachochewa na uharibifu wa vyanzo vya maji na hivyo kufanya kiwango cha maji kinacho patikana kiwe kichache ukilinganisha na mahitaji ya watu wa Tanzania, Hivyo ili kutunza vyanzo vya maji, Mikakati hii mitano itasaidia...
Nakumbusha tu kuwa,
Kipindi hiki cha Kiangazi kitumike kutambua vyanzo vya maji visivyo kauka.
Hii itaepusha kuwekeza fedha kwenye vyanzo vya maji vyenye maji ya msimu.
Nashauri pia kuwepo na uhamasishaji wa kuotesha miti ya maji kwenye vyanzo vya maji hata kwa zile chemchem Ndogo ndogo na...
JF isiwe ya stori tu jamani, tuje hapa kwenye majadiliano ya muhimu.
Naulizia aina ya miti ambayo inakua kwa haraka huku pia inasaidia kutunza vyanzo vya maji kama chemchemi na visima. Tafadhali kama unafahamu niwekee hapo chini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.