vyanzo vya mapato

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanufaika wa TASAF washauriwa kubuni vyanzo vya mapato ili wapate maendeleo na kutoka kwenye umaskini

    Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), umewezesha walengwa wa mfuko huo kutumia ruzuku wanayopata kushiriki kilimo, hali ambayo imekuwa ikiwaongezea kipato na kuwa na uhakika wa chakula. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Shadrack Mziray wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  2. Ifanye pesa isiwe ya msimu, buni vyanzo vingine vya mapato

    Kilimo kina msimu, hilo tunalielewa, msimu wa masika, vuli, kipupwe na hata kiangazi. Pesa hazina msimu. Ukifanya kazi kwa bidii na ukizitafuta, mwaka mzima unaweza ukawa kwenye masika ya hela wakati wengine wakiugulia kwa kusema hali ngumu wewe utakuwa huelewi wanaongea kichina au kimakonde...
  3. S

    SoC03 Ukipata ajira kijijini furahi

    Ni ndoto yakila mtu kuwa na mahali ambapo patampatia ujira ambao utaweza kuyamudu maisha yake, mara nyingi tunapozungumzia neno ajira huwa tunazungumzia watu waliopata elimu juu ya jambo fulani inaweza kuwa ni udaktari, Ualimu, Uanajeshi na taaluma nyinginezo ijapo ajira huwa zinalenga watu wa...
  4. Agizo la Waziri kuruhusu Mabasi kutoingia stendi ni kuwanyima Halmashauri vyanzo vya mapato

    Ninaangalia hapa kitindi cha Chetu ni Chetu kupitia ITV, naona malalamiko ya wafanyabiashara wadogo ndani ya stendi ya Igunga wakilalamikia agizo la Waziri wa Uchukuzi kuruhusu mabasi yanayosafirisha abiria kutotumia stendi za Halmashauri zilizojengwa kwa fedha ya kodi zetu. Athari zake pamoja...
  5. J

    Halmashauri ziwe na ubunifu katika kutekeleza agizo la Rais Samia la kutafuta Vyanzo vipya vya Mapato ili Wapiga kura wasiumizwe

    Akiwa katika mji wa Makambako Rais Samia amewapongeza viongozi wa Halmashauri kwa kuvuka malengo ya Ukusanyaji wa mapato na amewataka wabuni Vyanzo vipya vya Mapato. Rais Samia amekuwa akisisitiza ubunifu mzuri wa Ukusanyaji wa mapato ya serikali mara kwa mara ili kuiongezea uwezo wa kutoa...
  6. S

    Waziri Mwigulu, pitia huu uzi wa mwaka 2016 unaweza kukusaidia kupata vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo

    Oktoba 31 mwaka 2016, nilipendekeza vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo kupitia Jukwaa la Siasa(mada ilihamishiwa Jukwaa la Elimu)ingawa teyari mojawapo ya chanzo mwaka huu mpya wa fedha serikali imekifanyia kazi kwa kukitumia kama chanzo cha kodi(tozo kwenye ving'amuzi). Wanachokosea...
  7. M

    Kwanini wanaume waliooa huacha kuwashirikisha wenza wao kwenye vyanzo vyao vya mapato?

    Habari Wana jamvi, Kwa wanaume mliooa naomba kuuliza ni kwanini haumshilikishi mkeo vyanzo vyako vya mapato?? Au ulikua unamshilikisha afu ukaacha why? Ladies take note
  8. Serikali iliyoshindwa, vyanzo vya mapato vinachosha

    Serikali inayokkaribia kufeli, ukiona wananchi wanawekewa maneno mdomoni na watawala kwamba wamekubali mambo fulani. Ukiona wananchi wakilazimishiwa fulani awe kiongozi. Ukiona serikali inakosa kubuni chanzo cha mapato ambacho kila mtu ataridhia. Ukiona kila mtu anaongea kwa kiburi kama nchi...
  9. Wakiambiwa wabuni vyanzo vya mapato wanafikiria kuongeza kodi?

    Sasa ukiongeza kodi ndiyo umebuni nini? Kuna ubunifu gani hapo? Badala ya kuumiza kichwa uchumi ukue ili uweze pata kodi ya kutosha wewe unaongeza kodi, ambayo nayo ni hatari kwa uchumi kukua, harafu unasema 'tumebuni' vyanzo vya mapato! Tutafute njia za kutumia rasilimali zetu kukuza uchumi...
  10. Kuna vyanzo vingi vya mapato serikali ingeweza kuvibuni bila kuongeza kodi

    Kando ya barabara zote kunaweza kujengwa maduka yakapangishwa wamachinga. Hili linaweza kusimawa na halmamashauri za Wilaya. Majengo yakiwa ya kuvutia yatafanya mji uwe safi. Pia kujenga vyoo vya kulipia, kwa wenye maduka wataingia bure kwani kodi yao inachangia huduma za choo. Halmashauri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…