Naomba utusaidie nikiwakilisha watanzania wengi wanaopata changamoto kama mimi juu ya huduma zinazotolewa na Mamlaka ya Usajili wa Vizazi na Vifo (RITA).
Mimi nimeomba uhakiki wa cheti cha mtoto online toka tarehe 8/7/24 online, but nimekuja kufuatilia kwenye mtandao kuna wengine wameomba...