Kutokana na uhitaji wa lazima wa mifumo ya kisasa ya taaluma na utoaji wa ajira, ninashauri pawepo na mfumo wa kidijitali wa uhifadhi na upatikanaji wa vyeti vya elimu (accessibility and retrieval) ambao utaunganishwa na taasisi zote za serikali, za binafsi, mashirika binafsi na taasisi zote za...