Nimekutana na hii taarifa mtandaoni ikisema mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kushirikiana na chombo cha utoaji wa huduma za Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kwa pamoja wametoa mkataba KANJU ENTERPRISES LDT wa kutoa huduma kwa wananchi ya kufanya marekebisho ya majina/taarifa...
Sitachoka kuwalalamikia RITA, unatuma cheti cha kuzaliwa walichotoa wenyewe, wanakaa nacho zaidi ya wiki 3, baadae wanakujibu picha ya kivuli haionekani vizuri.
Wanakwambia kitume upya. Ukishakituma baada ya siku kadhaa wanakujibu cheti walichotoa wenyewe eti hakiko kwenye orodha...
Habari Wana jamii.
Naomba kuuliza ni mda gani RITA wanachukua kuchakati taarifa zako na kurudisha majibu?
Mfumo wa Sasa upo kitechnology Zaidi, mtu anaeweza kuomba cheti online kwa kutumia simu yake.
Je kama taarifa sio sahihi ni namna gani wanarudisha majibu?
Ni mwezi Sasa unapita toka...
Wahudumu watoa vyeti bila rushwa utaambiwa; kalete status, mara let's risiti, mara mfumo wa ku-print vyeti unasmbua, baadae njoo kesho. Ukija kesho yake watakuambia njoo jumatano au ijumaa ndiyo tunatoa vyeti.
Mwisho watakuambia mfumo unasmbua. Wahudumu wanatembea na rushwa waziwazi wakigawa...
Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena?
Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
Habari wanajukwaa.
Kuna changamoto tunapitia katika uhakiki wavyeti vya kuzaliwa kupitia RITA.
Wengi tupo katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu lakini kikwazo kimekuwa kwa RITA.
Mimi binafsi nina wiki ya 2 sasa kuelekea ya 3 cheti hakijahakikiwa na nimeshalipia.
Mbaya zaidi hata...
huduma za rita
kuhakiki vyeti
mikopo elimu ya juu
mkopo wa chuo
rita
rita kuhakiki vyeti
rita kuhakiki vyetivyakuzaliwa
uhakiki wa vyeti
verification
vifo
vizazi
vyetivyakuzaliwa
Utangulizi
Vyeti vya kuzaliwa ni nyaraka muhimu zinazothibitisha hali ya kisheria ya kuzaliwa kwa mtu na zina umuhimu mkubwa katika maisha ya kila siku.Katika Tanzania mchakato wa kupata vyeti vya kuzaliwa umekuwa na changamoto nyingi ukiwa ni pamoja na ucheleweshaji,urasimu na upotevu wa...
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, Dkt. Florence George Samizi akiambatana na mkuu wa wilaya ya Kibondo Agrey John Magwaza, leo tarehe 03/10/2023 amekuwa Mgeni rasmi katika zoezi la kampeni ya usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri chini ya miaka 5(0-5) ambao umefanyika...
Habari zenu wakuu, nataka kuhakiki cheti cha kuzaliwa kwa ajili ya kuomba mkopo (HESLB) kwenye mfumo wa online eRITA.
Nimejaza details zote lakini kuna moja "entry no" ndio sijui nijaze nini, naomba msasa tafadhali
Naomba kuuliza kwa wenye uhakika na hili: Je nakala ya cheti cha kuzaliwa kikithibitishwa mahakamani au kwa wakili kitakubalika?
Uthibitishaji wa vyeti vya kuzaliwa unatakiwa sana hasa kwenye kuomba ajira, na kwenye uombaji wa mikopo ya elimu ya juu.
Nauliza hivi kwa sababu mchakato wa...
Nauliza je, utaratibu wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa kupitia mfumo wa ONLINE RITA kwa mwaka 2023 / 2024 umeanza au bado?
Nimejaribu ku-create account ili nianze mchakato wa kuthibitisha vyeti vya kuzaliwa vya wateja na watu wangu wa karibu. Lakini hata hatua ya kwanza ku-create account...
Habarini,
Wanajamii kuna hili suala la wanawake kuwatafutia watoto zao cheti cha kuzaliwa zaidi ya kimoja. Katika vyeti hivyo unaweza kuta vipo vitatu na kila kimoja kina jina la baba tofauti kabisa.
Hii ni kwa sababu ya wao kuendelea kupata hela ya matunzo ya mtoto, unaweza kuta mtoto ana...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Pro.Mkenda kuna shida kubwa sana sana ya watoto kukosewa usajili wa majina yao sahihi ya awali, kati na ubini. Hili jambo limekuwa ni kubwa na tatizo sana kwa sasa kila kona ya Tanzania. Kwa mfano,
John -Joni
Peter-Pita
Rehema-Rehem
Na mengine kukosewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.