Sisi Wahitimu wa ngazi ya Shahada wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) kutoka kampasi zote wa Mwaka wa Masomo 2023/2024 tunakabiliwa na changamoto kubwa ya ucheleweshaji wa vyeti licha ya kufuzu masomo.
1. Kukosa Fursa za Kazi: Ucheleweshaji wa vyeti unatuzuia wahitimu kuomba nafasi za ajira...