Achana hayo mastudio wanayo yapaka paka rangi kuwanogeshea
Achana na hao watangazaji wanaogambaniwa kila baada ya miezi 6 unamkuta ameenda pengine
The chanzo ndio iliobaki kuuliza maswali magumu, taarifa zilizo hardcore, taarifa zilizo deep, blockbuster interviews, etc
Baada tu ya mauaji ya Samia kutokea, vyombo vya habari vya kimataifa viliingia kazini.
Vingine viliandika kuhusu hayo mauaji.
Baadhi vilitengeneza makala za kiuchunguzi na kurusha kwenye runinga zao.
Mpaka sasa sijaona chombo chochote cha habari kilichoko Tanzania ambacho kimeandika makala za...