vyombo vya usafiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Makambako: Serikali ipunguze matuta ya barabarani yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri

    Mdau wa Maendeleo toka Halmashauri ya mji Makambako Mhema Oraph ameiomba serikali ipunguze matuta ya barabarani kwani yamekuwa yanachelewesha muda na kuharibu vyombo vya usafiri. Mhema ametoa ombi hilo kwa Waziri wa viwanda na biashara akiwa katika ziara yake ya kikazi mkoani Njombe ambapo pia...
  2. B

    Kuomba ufafanuzi Magari ya mizigo kuwa na number plate ya njano

    Habari Magari ya mizigo number plate zao ni njano je kwenye kadi huwa zinaandikwa private au huwa unabadilisha kuwa commercial lakini number plate inabaki ya njano na kama linaingia private kwenye kadi unalipaje mapato au huwa hayalipiwi au unabadilisha kwenda commercial ndio unalipia mapato...
  3. Mnyamahodzo

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Nimekuwa napenda sana kusoma misemo mbali mbali katika magari hasa mabasi ya abiria na yale ya mizigo. Ndipo nilipoamua kuwauliza madereva, nani anayetaka maneno hayo yaandikwe? Majibu yao ni kuwa, wapo matajiri wanataka semi hizo ziandikwe, wakati mwingine ni madereva wenyewe huwa ndiyo...
  4. B

    Msaada jinsi gani naweza kuwafikia wamiliki wa vyombo vya usafiri mikoni ili kuingia nao makubaliano ya kussuport wazo langu?

    Habar qanaforum mimi apa nawazo la kuanzisha ofisi ya kupokea na kaagiza mizigo kutoka dar kwenda mikoni au kutoka mikoani kwenda sehem ingine kwa kutumia usafir wa mabasi lakin sijui vipi nitawafikia wamiliki wa mabasi ili nikubaliane nao. Hii nataka ni tengeneze uaminifu na urahisi kati ya...
  5. M

    KERO Barabara za Pemba ni nyembamba, vyombo vya usafiri vimeongezeka, imekuwa kero na hatari pia

    Kuna ajali ilitokea jana maeneo ya Kanambe Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazi Pemba, gari la fuso ambalo lilikuwa limebeba mchanga liliachia njia na kuanguka. Kuna mtu mmoja alipoteza maisha kati ya 10 ambao walikuwa vibarua waliokuwa wamebebwa ndani ya Fuso hilo, wengine wakipata majeraha...
  6. cleokippo

    Hivi sheria inasemaje kuhusu makosa ya Usalama Barabarani kwa vyombo vya usafiri kama pikipiki, bajaji, gari nk?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu Wataalamu wa sheria , naomba kufaham faini anayostahili kulipa mtu wa boda endapo atakutwa na makosa ma nne Au mtu wa gari anayeweza kukutwa na makosa ma nne Nimeamua kuandika uzi huu sababu kumekuwa na mabishano mtaan, wapo wanaosema hata...
  7. Braza Kede

    Akinamama na utunzaji wa usafiri (gari)

    Daah baadhi ya hawa wenzetu ni changamoto sana kwenye utunzaji vyombo vya usafiri hasa gari ya nyumbani. Wanachokijua ni kuwasha gari na kutoka nalo mkuku. Maadam wese lipo yeye anachojua ni kuwasha gari na kusepa. Huko mabarabarani saivi wao ndo wanaongoza kwa mbio na hapo hana habari...
  8. Roving Journalist

    Wamiliki wa Vyombo vya Usafiri wapatiwa elimu kujikwamua na umasikini, watakiwa kufuata Sheria za Usalama barabarani

    Mamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini LATRA imetoa elimu kwa wamiliki wa Vyombo vya moto ikiwemo daladala na bajaji juu ya umuhimu wa kuwa na ushirika wao wa pamoja ama kuwa na kampuni ambayo itakua inatetea maslahi yao. Meneja wa Leseni wa Mamlaka hiyo Bwana Leo Ngowi wakati akizungumza na...
  9. P

    Vituo vya Mafuta hufanya nini na Risiti wanazobaki nazo?

    Wakuu kwema? Nimeona sehemu nyingi kwenye Vituo vya Mafuta kuna watu wakishanunua mafuta huwa hawachukui risiti, unakuta ndoo za taka au mabox yamejaa risiti za kutosha tu. Huwa zinafanyiwa nini? Wanazipeleka wapi? Kuna sehemu nilisikia kuwa ni dili, anayejua undani wa hili atujuze.
  10. BARD AI

    Nauli mpya za Mabasi zimeanza kutumika, vipi Mdau ulishirikishwa kupanga nauli hizo?

    USAFIRISHAJI: Leo Desemba 8, 2023 Watumiaji wa huduma za Usafiri za Mabasi ya Masafa Marefu (Mabasi ya Mikoni) na Mafupi (Daladala) wanakutana na gharama mpya za Nauli. Kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), nauli za Mabasi yote zimepanda baada ya makubaliano yaliyofikiwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    TASAC Yapongezwa Kwa Usimamizi na Udhibiti Makini wa Vyombo vya Usafiri Majini

    Naibu Waziri Kihenzile aipongeza tasac kwa usimamizi na udhibiti makini wa vyombo usafiri majini Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amelipongeza Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa usimamizi na udhibiti makini wa vyombo vinavyotumia usafiri kwa njia ya maji na...
  12. Orketeemi

    Kuhubiri ndani ya vyombo vya usafiri si ustaarabu

    Wakuu Niende straight to the point. Hii aabia ya baadhi ya viongozi wa dini kupendelea kuhubiri tena kwa sauti Kali kwenye vyombo vya usafiri vya umma naona kama haijakaa sawa. Kila kitu kufanyika mahali pake ndio USTAARABU.
  13. ChoiceVariable

    Mvua zaendelea kuwa kilio kwa wakazi wa jijini Dar es Salaam

    Dar is big Slum ni Jiji la hovyo sana,mvua kidogo mnaanza kutafutana,Barabara shida,foleni,vinyesi na upuuzi kama huo. Bado mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam zimeendelea kuwa kilio kwa wakazi wake kutokana na adha ya usafiri wanayoipata kufuatia baadhi ya...
  14. KENGE 01

    Biashara ya GPS Tracking system installation kwenye vyombo vya Usafiri

    Na kenge, Hakuna biashara ngeni lakini unaweza kuifanya bila kuwa na mtaji mkubwa na bila taaluma kama IT au ufundi gereji kama wengi wanavyodhani. UTAFANYAJE? Wizi wa vyombo ni tatizo kote duniani sasa kama ni Jobless na unatafta pakuanzia unaweza kutafta mtaji wa kuanzia LAKI 5 NA...
  15. K

    TMDA dhibitini uuzaji wa dawa holela kwenye vyombo vya usafiri

    TMDA na mamlaka husika chukueni hatua haraka kuna upotoshaji mkubwa wa namna na aina mbalimbali za dawa zinazouzwa kwenye mabus yatokayo Moshi bus stand kwenda Arusha na kwenda Dar. Vijana hao wanasema wanatoka kampuni ya Mama Kilimanjaro. Tafadhalini fuatilieni na mzuei upotofu unafanywa na...
  16. C

    SoC02 Sayansi na Teknolojia katika matokeo hasi katika vyombo vya usafiri na matumizi ya simu kwa vijana wa karne hii pamoja na lugha yetu

    SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA MATOKEO HASI KATIKA VYOMBO VYA USAFIRI NA MATUMIZI YA SIMU KWA VIJANA WA KARNE HII PAMOJA NA LUGHA YETU. Sayansi na teknojia imekuwa msaada mkubwa katika karne hii ya 21,kumekuwa na mavumbuzi mengi na ya kisasa,Sayansi na teknolojia imezalisha na kuwaibua wataalamu...
  17. Nduna shujaa

    Sheria ya vyombo vya usafiri.

    Ndg wanajukwaa salam.Naomba kufahamu sheria inasemaje kwa wanaondesha vyombo vya moto bila plate namba?Hususanh pikipiki mana gari sijaona sana.
  18. 0743919950

    SoC02 Ukaidi wa sheria kutoka kwa madereva na wamiliki vyombo vya usafiri maarufu kama bodaboda

    Katika nyakati hizi tofauti na nyakati za nyuma kidogo, dunia imejaliwa kufanya gunduzi mbalimbali za sayansi na tekinolojia ikiwemo gunduzi bora kabisa za vyombo mbalimbali vya usafiri ikiwemo pikipiki. Vivyo hivyo kwa Tanzania usafiri huu wa pikipiki maarufu kama boda boda umeleta ufanisi...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    TBT ya kibabe: Mabasi na vyombo vya usafiri Tanzania

    1. TAWAQAL EXPRESS Pichani ni basi la kampuni ya Tawaqal. Kampuni hii ilikuwa balaa. Njia ya Dar - Mbeya, Dar- Kyela, Dar - Tunduma na Dar - Songea. Kampuni hii ilikuwa na madereva mahiri kwelikweli. Miongoni mwao alikuwepo GIRIKI. Jamaa alitoka Dar saa 12 asubuhi akaingia Mbeya saa 7...
Back
Top Bottom