Vyoo vya upande wa juu yanakotokea mabasi katika Stendi Kuu ya Mabasi Singida maarufu kama Stendi Mpya (vyoo vya kiume) havifai jamani..... ni vichafu vinatia kinyaa.
Ushuru tunaolipa getini na kwenye huduma ya chooo unafanya kazi gani?
Kwanini Manispaa isiweke kampuni ya usafi au watu maalum...
Vyoo vya matumizi ya umma hasa kwa ajili ya kukojoa katika bar nyingi na migahawa ya bus za abiria Tanzania vina changamoto nyingi sana upande wa sinki za kukojolea.
Kuna mahali bar kubwa au mgahawa mkubwa sana na wateja wengi lakini kuna sinki mbili tu za kukojolea kwa hiyo wateja chooni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.