Vyoo vya matumizi ya umma hasa kwa ajili ya kukojoa katika bar nyingi na migahawa ya bus za abiria Tanzania vina changamoto nyingi sana upande wa sinki za kukojolea.
Kuna mahali bar kubwa au mgahawa mkubwa sana na wateja wengi lakini kuna sinki mbili tu za kukojolea kwa hiyo wateja chooni...