Hii kitu inanishangaza sana.
Nimetembelea bars, lounges na clubs za level tofauti, kuanzia changanyikeni, middle class hadi na VIP lakin hii tabia naiona kote kwa wanawake na mashoga.
Ni kwa nini huwa mnasindikizana chooni hata kama mtu hajalewa eti mnasindikizana. Huwa mnaenda kufanya nini huko?
Kiutamaduni mwafrika amezoea choo cha kuchutama. Hivi vya kukaa utamaduni wa wenzetu.
Ila kukaa huwa kunambidi mtu pindi anaumwa au wazee au wamama wajawazito. Mahitaji ya kukaa hayaepukik katika baadhi ya wakati ingawa kama una afya vizuri inashauriwa uchutame.
Jambo plastic hivi viplastic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.