vyooni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini kwenye kumbi za starehe wanawake huwa mnasindikizana vyooni? Mnafanyaga nini huko?

    Hii kitu inanishangaza sana. Nimetembelea bars, lounges na clubs za level tofauti, kuanzia changanyikeni, middle class hadi na VIP lakin hii tabia naiona kote kwa wanawake na mashoga. Ni kwa nini huwa mnasindikizana chooni hata kama mtu hajalewa eti mnasindikizana. Huwa mnaenda kufanya nini huko?
  2. Nyakati za mvua Dar ndio watu wanaachia maji taka ya vyooni mwao!

    Hatariii sana hii kitu. Unakuta vinyesi vinaelea, dah hatari sana hii kitu!
  3. Jambo Plastic kwa matumizi ya vyooni

    Kiutamaduni mwafrika amezoea choo cha kuchutama. Hivi vya kukaa utamaduni wa wenzetu. Ila kukaa huwa kunambidi mtu pindi anaumwa au wazee au wamama wajawazito. Mahitaji ya kukaa hayaepukik katika baadhi ya wakati ingawa kama una afya vizuri inashauriwa uchutame. Jambo plastic hivi viplastic...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…