Ningependa kujua biashara ya vyuma chakavu imekaaje,.. Kuanzia mtaji wa kuanza biashara hii, changamoto zake, namna ya kuRUN and everything guys,... Nasubiria comments zenu.
Ushauri huu nautoa mara ya pili baada ya kuzungumzia suala hili miaka kama 3 huku nyuma.
Kikawaida mali za Shirika la uma kama TRC zimekuwa zikitunzwa kwa ufanisi mkubwa na kati ya mashirika yaliyofanikisha pakubwa kuzuia wizi na upotevu wa vifaa, mitambo na vipuli basi ni Shirika la reli.
Pia...
Salaam wakuu,
Naomba wakuu mwenye uzoefu na biashara ya vyuma chakavu anieleweshe jinsi ya kupata vibali kimoja baada ya kingine na leseni pamoja na bei zake.
Kwa mfanyabiashara mdogo tu mwenye fremu na mtaji wa laki5 ambaye hasafirishi nje ya mkoa
Hili sasa ni janga kuu hapa Bunda. Unapoamka alfajiri unakutana na makundi ya watoto na vijana wamebeba shehena za vyuma kwenye mifuko na maboksi yao. Wanavitoa wapi? Mwisho wa safari zao huwa ni kwa wachuuzi wa vyuma ambao kwa bahati mbaya sana hawabagui vyuma aina ya vyuma chakavu...
Wiki hii huko Arusha usiku wa manane watu wasiojulikana waling'oa mabomba yanayounganisha meter za maji na kuondoka nazo. Inasadikiwa siyo chini ya meter 25 katika eneo hilo. Wanainchi wanaamka asubuhi wanakuta maeneo yao yamefurika na maji.
Idara ya maji ilipojulishwa ilijivuta kuja kudhibiti...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dk Selemani Jafo ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaosafirisha vyuma chakavu nje ya nchi bila kibali kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Dk Jafo amesema wafanyabiashara hao wanachangia kuongezeka kwa bei za vifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.