vyuma chakavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    Nanunua vyuma chakavu nipo Dodoma

    Poleni na Majukumu wanajukwaa Nanunua Vyuma chakavu vya aina yoyote Nanunua. Chuma Dongo Bati Aluminum Copper Brass Cast Bettery Mbovu za gari, pikipiki na Bajaji. Nanunua Motor, Friji, AC, Compressor, Magari na pikipiki Mbovu. Napatikana Dodoma Kikuyu
  2. Biashara ya vyuma chakavu

    Ningependa kujua biashara ya vyuma chakavu imekaaje,.. Kuanzia mtaji wa kuanza biashara hii, changamoto zake, namna ya kuRUN and everything guys,... Nasubiria comments zenu.
  3. Ushauri: Shirika la reli (TRC) uzeni vyuma na mitambo chakavu kwa viwanda vya vyuma vya ndani maana hamna matumizi navyo

    Ushauri huu nautoa mara ya pili baada ya kuzungumzia suala hili miaka kama 3 huku nyuma. Kikawaida mali za Shirika la uma kama TRC zimekuwa zikitunzwa kwa ufanisi mkubwa na kati ya mashirika yaliyofanikisha pakubwa kuzuia wizi na upotevu wa vifaa, mitambo na vipuli basi ni Shirika la reli. Pia...
  4. Msaada kwa ajuae bei ya kupata leseni ya kukusanya chuma chakavu mtaani

    Salaam wakuu, Naomba wakuu mwenye uzoefu na biashara ya vyuma chakavu anieleweshe jinsi ya kupata vibali kimoja baada ya kingine na leseni pamoja na bei zake. Kwa mfanyabiashara mdogo tu mwenye fremu na mtaji wa laki5 ambaye hasafirishi nje ya mkoa
  5. DOKEZO Polisi Bunda wafanyieni uchunguzi wanunuzi wa vyuma chakavu

    Hili sasa ni janga kuu hapa Bunda. Unapoamka alfajiri unakutana na makundi ya watoto na vijana wamebeba shehena za vyuma kwenye mifuko na maboksi yao. Wanavitoa wapi? Mwisho wa safari zao huwa ni kwa wachuuzi wa vyuma ambao kwa bahati mbaya sana hawabagui vyuma aina ya vyuma chakavu...
  6. Uwekaji Meter za Maji Nje ya Nyumba na Wizi wa bomba zake ikidaiwa ni wauza Vyuma Chakavu

    Wiki hii huko Arusha usiku wa manane watu wasiojulikana waling'oa mabomba yanayounganisha meter za maji na kuondoka nazo. Inasadikiwa siyo chini ya meter 25 katika eneo hilo. Wanainchi wanaamka asubuhi wanakuta maeneo yao yamefurika na maji. Idara ya maji ilipojulishwa ilijivuta kuja kudhibiti...
  7. Waziri Jafo aonya wanaosafirisha vyuma chakavu bila vibali

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dk Selemani Jafo ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaosafirisha vyuma chakavu nje ya nchi bila kibali kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Dk Jafo amesema wafanyabiashara hao wanachangia kuongezeka kwa bei za vifaa...
  8. Tupeane Hints za Biashara ya Vyuma Chakavu

    Hello habari zenu, Niko interested na biashara ya Vyuma Chakavu, tafadhari mwenye hints Kuhusu faida na changamoto zake tujuzane..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…