vyuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BearCat G3: Vyuma vipya vya kibabe wanavyotumia Polisi Tanzania!

    Lenco BearCat wanatengeneza armored vehicles kwaajili ya majeshi mbalimbali Duniani, ikiwemo SWAT. Kwa sasa Jeshi la Polisi wameleta vyuma ivyo kwaajili ya kurahisisha kazi zao. Model ilioletwa ni G3 ambayo imeonekana ikisimamia swala la ulinzi siku hizi mbili. Hii chuma ina engine ya V8...
  2. R

    Huu ni mtindo wa kuunganisha kenchi kutumia vyuma kama hawa mafundi huko Zimbabwe unatumika sana hapa?

    Hawa ni mafundi wanatayarisha kenchi kwa kutumia "truss plates" huko Zimbabwe kijijini.
  3. Smartphone za Oppo na Vivo zipo underrated sana. Wana vyuma vina camera iPhone yoyote haiweki mguu!

    Tuache Xiaomi na Huawei, hao habari nyingine kabisa. Yaani sio Samsung wala Apple apo atasogeza flagship yake. Tuongelee hawa wawili, Oppo na Vivo. Ukiwachukulia poa utasema ni garbage nyingine kutoka kwa Mchina, ila aisee hawa jamaa wana flagship kali sana. Mfano: Vivo X100 Ultra, na Oppo...
  4. M

    Wapi wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel na vyuma vya canopy

    Msaada waku naulizia wapi au makampuni Gani wanauza vyuma plate zakutengeneza matank ya mafuta petrol na diesel navyuma vya nguzo za conopy na vifaa vyake oringina msaada wenu Dee pond ,agroprodct na wadaut wangine
  5. O

    Nanunua vyuma chakavu nipo Dodoma

    Poleni na Majukumu wanajukwaa Nanunua Vyuma chakavu vya aina yoyote Nanunua. Chuma Dongo Bati Aluminum Copper Brass Cast Bettery Mbovu za gari, pikipiki na Bajaji. Nanunua Motor, Friji, AC, Compressor, Magari na pikipiki Mbovu. Napatikana Dodoma Kikuyu
  6. VYUMA VIMEKAZA Vs SINA HATA MIA MBOVU

    Salaam wakuu. Waliosoma Cuba level za PHD washanielewa. Upi msemo at least unatia moyo. NB: please usitaje jina lolote, kwenye comment majibu ya jicho la 3D yatapendeza sana Nawasilisha.
  7. Biashara ya vyuma chakavu

    Ningependa kujua biashara ya vyuma chakavu imekaaje,.. Kuanzia mtaji wa kuanza biashara hii, changamoto zake, namna ya kuRUN and everything guys,... Nasubiria comments zenu.
  8. Simba washabiki tulijua sasa Mo yuko siliasi. Tukaanza Kuwataja Akina Feitoto, Mayele na Aziz ki na Pakome. Kumbe anatoa vyuma vyote.

    Kama kuna Mtu wa kupewa pongezi kwa kukua Soka la bongo basi namba moja ni Mohammed Dewji Mo. Alijitaidi kuisuka simba vizuri na kuitambulisha soka letu kimataifa Baada ya mo Wafate akima Azam media na wengine Ila anavyoishiwa nguvu ya pesa kuifanya timu kubwa Akubali ukweli. ahusishe...
  9. Kumbe hatusajili kwa sasa kwakuwa Skauti wao Mkuu Simba SC anasajili Vyuma vya maana Kimya Kimya tofauti na Misimu iliyopita?

    Asante sana Poti wangu ( mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu ) Crescentius Magori ambaye nakukubali kama ambavyo nilikuwa nikimkubali Mapama ( Marehemu Zacharia Hanspoppe ) kwani nimeambiwa kuwa sasa Tajiri na Wewe mnamaliza Shughuli Juu kwa Juu na kimya kimya kwa Kusajili Vyuma huku waliokuwa...
  10. S

    Uchomeleaji na uhunzi wa vyuma

    Tunahusika na uchomeleaji na uhunzi wa vyuma, tunatengeneza machine za kilimo, ujenzi, upakiaji, machine sector za madini, viwanda, tela za trekta n.k, tunabuni na kutengeneza mitambo kulingana na mahitaji ya nteja, kwetu mteja ni mfalme YEMARATECH LTD tunapatikana msalato Dodoma, +255757123115...
  11. Msaada wa Vyuma vya Turubai

    Habari, Nlikua naomba msaada kuhusiana na material/vyuma yanayofaa kutengenezea stendi ya tenti. Msaada kuhusiana na ni urefu gani ni sahihi na ni chuma au aluminium kinachofaa kwa ajili ya kuweka kama stendi. Je ni design gani nzuri ya kuweka, ile turubai yenye flat kwa juu au iliochongoka...
  12. DOKEZO Polisi Bunda wafanyieni uchunguzi wanunuzi wa vyuma chakavu

    Hili sasa ni janga kuu hapa Bunda. Unapoamka alfajiri unakutana na makundi ya watoto na vijana wamebeba shehena za vyuma kwenye mifuko na maboksi yao. Wanavitoa wapi? Mwisho wa safari zao huwa ni kwa wachuuzi wa vyuma ambao kwa bahati mbaya sana hawabagui vyuma aina ya vyuma chakavu...
  13. Weekend hii ilenda vizuri kwa kutazama movie

    Weekend hii iliyopita ilienda vizuri sana sikutegemea mana sikua na mtoko wowote ule, basi nikasema hii weekend ni ya kuchill home nakaona haitakua vyema bila ya kusindikiza na movies, aisee nilpata bahati ya kupata movies kali kinoma hutamani hata ikupite. Hivyo basi napenda kushare movie...
  14. Nitumie nini kuondoa kutu kwenye hivi vyuma

    Ni vyuma vya pelleting machine vimeshika sana kutu hivyo nataka kuvirudisha kwenye hali yake ya kawaida
  15. Leo siku ya 4 crane ya kunyanyua vyuma vya daraja la Baltimore USA liligongwa na meli haijafika kwenye tukio

    Uwezo wa kukabilianana majanga kwa wakati si jambo rahisi kwa taifa na jamii yoyote haijarishi uwezo wala maendeleo. The cargo ship – about the length of three football fields – has as many as 4,000 tons of steel frame hanging on its bow since the ship plowed into the Key Bridge – sending a...
  16. M

    Kula vyuma hivyo usherekee sikukuu vizuri

    Ukipata ukifanikiwa usisite kunibless ata ya soda basi dah! Wana mna roho ngumu haki ya nani! πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
  17. W

    SI KWELI Kunyanyua vyuma kunaweza kuleta dalili za mapema za kukoma hedhi

    Kukoma hedhi ni wakati ambapo mzunguko wa hedhi wa mwanamke hukata. Ki kawaida hutokea mwanamke anapokaribia umri wa miaka hamsini. Wakati hedhi inapokaribia kukata, wanawake hupitia dalili mbalimbali kama mzunguko wa hedhi usio wa kawaida, matatizo ya kihisia na ya kimwili ambayo hawajawahi...
  18. G

    Ewe kijana tafuta sana pesa kipindi hiki vyuma vimelegezwa Rais ajaye vyuma vitakazwa upya kwa miaka 10

    Hii nchi mambo hayajawahi kuwa rahisi ila kuna awamu huwa zina nafuu. kipindi cha Mwinyi watu walizikamata sana, kipindi cha Kikwete ilikuwa utawala sana kwa raia na hali ya sasa vyuma vilivyokazwa hapo nyuma vinamwagiliwa grisi nzito. Rais ajae hali inaweza kurudi kuwa vyuma vya kukaza kwa...
  19. P

    SI KWELI Mtoto akianza kubeba vyuma vizito vya mazoezi anadumaa

    Wakuu kwema? Niko na swali hili, nilisikia watu wakizungumza kuwa mtoto akianza kubeba vyuma vya mazoezi anadumaa, yaani anaacha kurefuka na kuishia kuwa na umbo lile lile la mtoto (anadumaa). Kuna ukweli wowote katika hili?
  20. Serikali Kununua Vipuri na Vyuma Katika Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools

    SERIKALI KUNUNUA VIPURI NA VYUMA KATIKA KIWANDA CHA KILIMANJARO MACHINE TOOLS Serikali kupitia Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) imekifanyia ukarabati mkubwa Kiwanda cha Kilimanjaro Machine Tools (KMTC) ikiwa ni pamoja na kujenga tanuri la kuyeyushia chuma (Foundry), ukarabati wa miundombinu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…