Pamoja na machinga kusema kuwa hayati JPM alikuwa mkombozi wao maana hakupenda waonewe. Lakini ukweli ni kuwa wana hali mbaya sana kibiashara.
Mama lishe nao wapo hoi bin taabani, wanauza kwa kwa kuchechemea maana pasi ndefu ndio mtindo uliopo sasa. Biashara nyingi zimefungwa hasa masupamarket...