Wadau natamani leo nione mawazo yetu hivi nyumba ya vyumba vinne ambazo tunaamini za kisasa na zile za vyumba vitatu tunaamini za zamani ipi Bora
Kwa mimi naona vyumba vitatu sawa maana nyumba kuna wakati inakuwa kubwa mnabaki na familia chache ata kufanya marekebisho inakuwa inakushinda...
Habari za jioni ndugu zangu,
Naomba kuuliza kiwanja chenye ukubwa wa 15x15 kinaweza kutosha nyumba ya vyumba vitatu sebule jiko na choo Kwa wanaojua naombeni msaada mnijulishe wadau maana Kuna sehemu nataka nianze ujenzi
Habari zenu mabibi na mababu.
Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet.
Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Ramani ya kisasa...
Napangisha Nyumba
Ipo Kiseke PPF Mwanza room 3 mojawapo ni master, sebule, jiko etc
Bei ni 2,500,000/- kwa mwaka.. unaruhusiwa kulipa miezi sita..
Karibu sana!
Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika.
Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.