Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
Tanzania ! Tanzania ! Tanzania !
Habari za leo vijana wasomi.
Naomba kutoa wazo hapa hasa kwa Serikali dhidi ya Vijana wa elimu ngazi ya Shahada.
1. Serikali tunaweza anzisha "VIJANA SECURITY FUND". Hii ikawa maalumu sana kwa vijana wa taifa letu umri kuanzia miaka 18 mpaka 44. Huu uwe...
Jumuiya ya Umoja wa vijana wa CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Ndg. Mohammed Ali Kawaida inatarajia kufanya Mkutano mkuu maalum wa UVCCM Vyuo na Vyuo vikuu utakaokutanisha Viongozi wote wa mikoa yote wa vyuo na vyuo...
Nimewaza tu kwa sauti kwamba mtu umepigika zako miaka mitatu ya kutafuta digrii alafu unakuja kufutiwa kwamba ni feki.
===================================
Tume ya Elimu ya Vyuo Vikuu imetaja vyuo 15 vinavyofanya kazi kinyume cha sheria nchini Kenya na kuwaonya Wakenya kwamba vyeti vya kimasomo...
Wanaukumbi.
⚡️🇺🇸IRais wa Marekani Trump anatishia kusitisha ufadhili kwa vyuo, shule au chuo kikuu kinachoruhusu "maandamano haramu"
Haya yanajiri baada ya maandamano ya chuo kikuu yaliyokuwa yakitetea Wapalestina na Wazayuni wakidai kuwa maandamano haya ni "chukizo".
Swali hapa ni: Je, ana...
Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi iliyobalikiwa madini kama tanzania!
Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining engineering etc)
Asilimia 95% hadi wanamaliza chuo kikuu huwa hawajawahi kuiona dhahabu au almasi laivu...
Husika na kichwa habari hapo juu;
Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake.
Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu mkuu wa shughuli zote za Elimu nchini kuanzia halmashauri mpaka Taifa, na vibao vyote vya shule...
Wapendwa habari ya uzima wetu. Samahani naomba msaada Nahitaji kufanya maombi ya nafasi kwa vyuo vya afya vya kati lakini sielewi dirisha linafunguliwa lini. Tafadhali naomba msaada kwa aliyewahi kufanya maombi vyuo vya afya vya kati maombi yanafanyika lini na kwa utaratibu gani?? Nisaidieni wandugu
Majuzi nimekaa kwenye bwalo la halmashauri ya Mbeya vijijini nikishuhudia machozi ya vijana wasomi wa kitanzania wakimwaga machozi baada ya kuonekana hawajapita kwenye interview ya inayosimamiwa na watu wasiojua thamani na gharama za mtu kukaa miaka mitatu akipambania shahada ya ualimu kwa jasho...
Vyuo vya ufundi kama VETA (Vocational Education and Training Authority)
Vyuo vya ualimu kama DUCE (Dar es Salaam University College of Education)
Vyuo vya afya kama Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS)
IFM , CBE, DIT
Wanafunzi mpaka anahitimu hajui kama anasoma kwenye...
Tunawaona wahitimu wengi sana wakibaki majumbani au kwenda kwa dada zao walioolewa baada ya kuhitimu.
Speaking from experience vijana wengi baada ya kumaliza chuo huanza kuomba ajira bila mafanikio (hawana connection, hawana experience), mwaka unakatika wanaona kujitolea (volunteering) kwenye...
Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030.
Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)
Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...
Kwenye List mashuhuri za Mawakili Mahiri hapa Tanzania ukianza wale wa zamani utasikia ni akina Endrew Chenge, Akina Mkono, Dr Harrison Mwakyembe na akina Prof Kabudi.
Ukija kwa vizazi vya hivi karibuni list ni ndefu mfano
Peter Kibatala
John Mallya
Dickson Matata
Tundu Lissu
Peter Madereka...
Muhimu: Ni nje ya vyuo kama open university chenye matawi kila mkoa, Pia kwa vyuo vya kati vya ufundi, nursing, ualimu, utalii, hotel management, n.k.
Tanzania Bara kuna mikoa 26 inayoshiriki kuchangia pato la taifa lakini cha kusikitisha vyuo vya serikali vipo concetrated sehemu chache
Dar es...
System ya elimu ya hapa Tz inafanana karibu vyote Tanzania
Lecturers wengi wa vyuo vya Tanzania ni wahitimu UDSM
Walimu wengi hawaandai notes zao, wanatumia notes za mitandaoni kufundishia darasani.
Wanafunzi wengi wanasoma kwa kukariri sana kwasababu lugha ni changamoto
Jambo la kushangaza...
Vyuo vingi vya Kati vya Afya na Sayansi Shirikishi kuna ukiukwaji mkubwa wa haki za wanafunzi, wapo wanaofelishwa makusudi katika mitihani yao ya practical.
Walimu wanatumia nafasi hiyo hasa kwa wanafunzi waliotofautiana nao au waliowatongoza wakawakataa, matatizo binafsi ya Walimu na bifu kwa...
Kila baada ya siku 60 mnufaika wa mkopo wa bodi ya mikopo HESLB inabidi apewe pesa ya kujikimu na chakula shilingi 10,000 kwa siku lakini mpaka leo naandika uzi huu hakuna mwanafunzi hata mmoja Tanzania aliyeingiziwa pesa ya Boom ilihali malipo vyuoni yaani Disbursement imewanyika takribani wiki...
Wakuu Habari zenu,
Wataalam wa fani ya Afya naombeni ushauri.
Ni nchi gani kwa bara la ulaya vyuo vyake viko vizuri kwa fani ya afya upande wa ufamasia.
Nataka nimpeleke dogo huko lakini bado sijajua chuo na nchi ipi nzuri.
Wanabodi heshima mbele.
Kuanzia tarehe 15/12/2024 mpka tarehe 20/12/2024.Kulikuwa na MASHINDANO ya michezo ya VYUO VIKUU VYA AFRIKA MASHARIKI (13Th Eastern African Universities sport) yaliyo fanyika katika chuo kikuu cha MASENO nchini Kenya.
Nchi zilizo shiriki ni pamoja na Tanzania,Uganda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.