Tarehe 18 Oktoba 2024 ilikuwa siku ya kihistoria baada ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia kwa Waziri wake Prof Adolph F. Mkenda kuwasilisha taarifa kwa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo kwa namna Serikali ilivyoshughulikia malalamiko ya wamiliki wa Vyuo vya...
Je, unaweza kusoma nursing bugando ukipata mkopo asilimia mia moja, na ukamdu ukiwa hauna kipato chochote ukizingatia kwamba Bugando ni private?
Naomba msaada wakuu
Habari wana jf, nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne ,2023 na kupata div 1 ya 15. Kuhusu ufaulu masomo yote ya sayansi amepata B.
Aliomba chuo kupitia utaratibu wa shule ule wa kuchagua selection alikosa, ( chuo cha afya kozi ya dental),sasa je nauliza akiomba kawaida kupitia nacte anaweza...
Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology!
Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
Na Mwandishi Wetu
Jopo la Mawakili kumi na nne (14), wataalamu wa takwimu nane (8) na wataalamu wa mitaala watatu (3) kutoka katika kampuni za ushauri elekezi na uwakili zinapanga kuiburuza Serikali Mahakamani kutokana na uamuzi ya wizara ya afya kupitia kurugenzi yake ya mafunzo na...
Kwanini suplementally na incomplete hazifanyiki kwa pamoja? Yaan unakuta mtu hakufanya mitihani kadhaa halafu baadhi akafanya sasa kwa bahati mbaya aka sup moja wapo lakini siku ya second sit anaambiwa afanye tu incomplete halafu Sup mpaka baadae why?
Sababu ni kama kumpotezea mtu muda. Mdogo...
Salaam,
Hii ni kwa wale ndugu zangu wa PCB wenye matarajio ya kwenda medical schools(hasa public universities) lakini competition itawaondoa.
Jaribuni kozi nyingine nje ya field ya afya pale itakapo wabidi kama sisi kaka zenu tulivyojaribu.
Inawezekana usichaguliwe huko medical school kwa kuwa...
Habari jf ,nadhani kuna muda taifa linahitaji kuwa serious katika baadhi ya Mambo.
Hivi unawezaje ruhusu vijana ambao hawaiva vizuri wakaingia mtaani? Law school wameonyesha mfano kwa kurudisha vijana wengi walio shindwa mtihani, Elimu ya Chuo lazima iheshimiwe.
Sheria ina Uamuzi mkubwa...
Mitihani yao inaanza leo. Wamepewa Exam timetable last Friday, wameshitukizwa. masikini hawana wa kuwasemea.
Hivi vyuo vinahitaji reforms kubwa. Ni vya "bora liende" so to say! Wanakuwa victimized in all areas of their studies.
Kuna wengine jana tu ndiyo wanaambiwa hawana sifa za kufanya...
Watoto wako kwenye suspense hawajui lini wanaanza mitihani . Ratiba mpaka leo haijatoka Wana lengo gani kutokutoa ratiba mpaka leo? Wanataka kuwashitukiza watoto ili iweje? Wao walitendea hivyo wakati wanasoma?
Habari wa jamiiforums
Kwa uendeshaji wa vyuo vya Afya nimeandaa mfumo maalum wa uratibu wa matokeo na ada kwa vyuo vya afya kwa ngazi ya NTA level 4,5 & 6
Mfumo huu utarahisisha kuhifadhi taarifa na kutoa matokeo kwa wanafunzi kwa wakati, Wanafunzi ambao
hawajatoa ada wanaweza kuzuiwa kuona...
Time is running very fast, we need to know the fate of our applicants. Tafadhali toeni majina watoto wajiandae pamoja na wazazi mambo ya ada na gharama zingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.