Habari wana jf, nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne ,2023 na kupata div 1 ya 15. Kuhusu ufaulu masomo yote ya sayansi amepata B.
Aliomba chuo kupitia utaratibu wa shule ule wa kuchagua selection alikosa, ( chuo cha afya kozi ya dental),sasa je nauliza akiomba kawaida kupitia nacte anaweza...