Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata tangu kuanzishwa kwake mwaka 1994, ikiwemo ongezeko la vyuo vya ufundi stadi kutoka 14 hadi 80, kuongezeka kwa vyuo binafsi hadi zaidi ya 770, na kupanuka kwa wigo wa udahili wa wanafunzi kutoka 38,560 hadi...