Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe 27 na keshokutwa 28, Januari 2025, kutokana na kufungwa kwa barabara nyingi za jiji la Dar es Salaam...