Mimi ni mdau niliyesoma Chuo Kikuu cha ZANZIBAR Tunguu Mkoa wa Kusini Zanzibar, nalalamikia kwamba katika kipindi hichi Wanafunzi tuliomaliza Mwaka 2024 - 2025 katika kozi tofauti chuoni hapo tunacheleweshewa kupewa vyeti vyetu pamoja na transcript ambazo zinatusaidia katika kutafuta ajira na...
Mratibu wa Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu (TESP), Mwl. Cosmas Mahenge, ameelezea mafanikio makubwa yaliyopatikana kupitia mradi huo, ikiwemo ongezeko la vitabu na vifaa vya kujifunzia na kufundishia kwa wakufunzi na wanafunzi.
Aidha, ameeleza kuwa Mradi huo umewezesha ujenzi na ukarabati...
Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi
Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye vyuo mbalimbali hapa nchini
1. Ugumu wa Maisha
Baadhi ya dada zetu wamekuwa wakijiingiza kwenye hii...
Vijana vyuoni hii inaweza kuwa funzo kubwa sana kwenu, lakini pia hata raia wengine kuna cha kujifunza hapa.
Ni stori ya kweli ni mkusanyiko wa visa vilivotaka kuchukua uhai kama siyo akili yangu.
Nianzie mwaka 2017 nilipojiunga na chuo kikuu maarufu sana hapa nchini. First year semester ya...
Miaka ya nyuma kidogo kulikua na kashikashi sana katika vyuo vya elimu ya juu nchini hasa vya serikali...
Nakumbuka niliwahi kuhudhuria mdahalo pale nkruhma hall UDSM nikiwa mwanafunzi wa kidato cha tano makongo na mdahalo huo ulikuwa umeandaliwa na Tahliso chini ya Julius Mtatiro.
Lakini pia...
Ipo hivii hawa wanawake ndio wahusika namba moja kwa kudate na masponsa.
Na hawa masponsa wengi wao ndio viongozi wetu au ni watu walio kwenye vitengo vikubwa vikubwa wakiendesha taasisi au makampuni yanayo chakata uchumi wa taifa.
Sasa ni hivi nyie wanawake mnawaambukiza ma uti,kaswende na...
Maisha yamebadilika sio tena kama enzi zetu ukimaliza degree ajira unachagua.
Kwa hapa tulipo nazidi kujionea vijana wengi sana wanamaliza vyuo wakiwa vijana wadogo wenye 23 hadi 25 lakini wanakuja kujipata wakiwa 30s, hapo kati stress zinawatafuna na kwa kiasi kikubwa ni matokeo ya zile ndoto...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda akielezea mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, namna Serikali ilivyojipanga kutatua changamoto zilizopo katika Vyuo Vikuu vya umma Nchini, ameyasema hayo Morogoro, leo Agosti 4, 2024.
Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake.
kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ?
kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho...
Katika mitandao ya kijamii kumekuwepo na tabia ya kundi kubwa la vijana wa Kitanzania kuhabarishana, kuombana, kusherehesha na kugaiana video za pornography za watu mbalimbali ambazo wao wanaita "connection".
Hizo "connections" zenyewe sio hata za watu maarufu wenye athari zozote katika maisha...
Usiache kuombea madada wa vyuoni Mungu awape nguvu ya kushinda kujirahisisha kwa wanaumeee
Yaan hali sio nzuri ukijutana na madada kwenye basi akitaja chuo ukapata namba weekend ukonae
Najua bumu nk haliwasaidii sana ila mjitahidi kujitynza maana nyie n taifa la kesho
Tusitengeneze taifa la...
Naandika haya nikiwa jikoni kabisa.Nimelia sana kwa maneno ya wabunge wanaokula posho za bure kwa kugonga meza na kudharau wanazuoni.
Jamani kuna kundi kubwa sana la wanafunzi wa vyuo ndoto zao zinaisha njiani na kufa kabisa kwa sababu za ada,watu wanakosa malazi,watu wanapitia msoto mkali...
Vyuo vikuu inakuaje board ya mikopo inaweka hela kwenye account za vyuo wiki mbili zinapita bado chuo haviandai voucher na cheques kupuleka bank wanafunzi wanapata pesa baada ya siku 84 sio 60 tena vyuo vinafaidika Nini na kuwacheleweshea wanafunzi pesa hapa SUA mjiulize 🤨
Tanzania ni moja ya nchi za kiafrika zenye a idadi kubwa ya wasomi ambao wamekua wakiishi kwa kutegemea kuajiriwa. Hii imekua ni desturi sasa tangu kupata uhuru miaka ya 1961, ni kwasababu ya uwepo wa mfumo wa elimu ya kikoloni unao ruhusu utegemezi zaidi.
Pamoja na uwepo wa jitihada kubwa za...
Mtoto ulimlea mwenyewe kwa kutshughulisha na akija chuo na akapewa fedha za kujikimu unaona kana kwamba shida zimeisha .
Mfano
★Anaenda hana nguo za kumtosha
★Hana simu janja wala PC
★Anaenda hana fedha ya hakiba .
Na bado haitoshi gharama za bima na malipo mengine ayafanye yeye kwa kigezo...
Salama kitu gani?
Nimetoka kibaruani nimejichokea, hapa ndani ya mji mdogo wa Himo mara bila kutegemea naparamiwa na msichana ananililia, anaomba aokolewe mpenzi wake amelewa anampiga na marungu.
Anaomba msaada nikamchukulie vitu vyake arudi chuoni Kilacha(chuo cha mifugo), jamaa ananifata...
Wazazi wanatuombea sana hususa wale wa familia za chini pale wanapoona kijana au Binti yao yupo chuoni, kwani imani yao atapata Elimu kisha kuwa na maisha bora.
Lakini tatizo vuoni kunakuwa na mipango malidhawa ya Wakufunzi kukwamisha ndoto za vijana au Mabinti hawa. Tupia mbali rushwa kwani ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.