vyuoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna baadhi ya Vijana wa Chuo ni wajinga sana

    Kuna rafiki yangu mmoja ambaye si Mtanzania anaishi Marekani, Boston state! Huyu jamaa kiasili ni Msweden ambaye anaishi huko Kwa Joe Biden, mimi na yeye urafiki wetu ulianza miaka mingi kidogo baada ya kukutana mkoani Arusha kwenye ishu moja hivi, kuanzia hapo tukawa kama ndugu!. Sikutaka...
  2. Je, jeshini na vyuoni ndio sehemu kubwa za kuleta teknolojia mpya kwa nchi?

    Jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuchangia katika kuleta na kukuza teknolojia mpya kwa nchi, lakini ni muhimu kutambua kwamba sehemu zingine za jamii na sekta zinaweza pia kuchangia kwa njia kubwa. Hapa kuna jinsi ambavyo jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuwa sehemu muhimu ya kuleta teknolojia mpya...
  3. M

    Sababu ya mwitikio wa watu kusoma shahada ya Umahiri (Master's dgree) kupungua?

    Habari ya muda wanajamvi. Nimejaribu kufuatilia udahili wa vyuo vikuu kwa miaka mitano nikagundua hamasa ya watu kusoma master's degree imepungua sana. Hata mtaani ni wachache sana utasikia wanasema wanataka kusoma Master, ukilinganisha na miaka 10 iliyopita hasa 2010 hadi 2015 hamasa ilikuwa...
  4. Hali ya mikopo vyuoni ni Mbaya

    Wanafunzi hawajakamilishiwa boom zao mpaka sasa na mitihani inafika na wanategemea kulipia ada, HESLB wanampango gani?
  5. S

    Changamoto ya rushwa ya ngono vyuoni tuaniomba TAKUKURU ifanye uchunguzi

    Kumekuwa na changamoto kubwa ya Rushwa ya ngono kwa baadhi ya vyuo vikuu na vyuo vya kati Tanzania hususani kwa watoto wanaomaliza kidato cha nne na kujiunga na vyuo kwa ngazi ya Certificate na diploma. Wengi wao wanakua ni wadogo kiumri na kushindwa kuhimili changamoto hiyo kutoka kwa baadhi...
  6. J

    Muda wa kuomba mkopo HESLB kwa kozi zilizoongezwa Januari 3, 2024 uongezwe ili kuruhusu kukamilisha maombi

    Habari, Naomba tujadili hili ni sawa? Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea siku hiyo. Katika taarifa hiyo Bodi ya mikopo HESLB haijataja deadline au siku ya kufunga dirisha la...
  7. kuna mambo mawili hapa......

    kuna mambo mawili hapa aidha aliishakula vya kwake vyote na hana alichobakiza au ametafuta saana na akakosa mwisho wa siku kakata tamaa, tujitahidi sana kuwakwepa hawa watu hasa sisi vijana wenye muelekeo wa kujipata.
  8. Ni aibu kubwa mwanafunzi awe na first class GPA chuoni abaki mtaani, hawa watu wabakizwe vyuoni, mtaani bila mitaji wanateseka sana

    Imagine mtu ana gpa ya 4.5 hadi 4.9 sijawai ona 5.0) , anamaliza chuo anarudi kitaa na kwao hawapo njema kiuchumi hawezi pata mtaji kirahisi, umaarufu wa kupata gpa nzuri unageuka kumuaibisha. Na mara nyingi aina hii ya watu ni wale tuliokuwa tunawaita kina john kisomo, Sehemu wanayoiwezea...
  9. Kuna watu vyuoni/shuleni walikuwa serious na masomo tu, Makazini wapo walio serious na kazi, Ukiwa serious sana utafurahiaje maisha?

    Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa. Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama...
  10. Polisi kuwasaka Madada poa Vyuoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema limeanza oparesheni maalumu ya kuwasaka wanafunzi wa kike wanaojiuza katika vyuo vikuu na wanaojihusisha na mapenzi ya jinzia moja kwenye kumbi za starehe na eneo la mataa ya kuongozea magari. Oparesheni hiyo itahusisha wamiliki wa nyumba walizopanga kwa...
  11. D

    Jinsi kauli ya hauna connection na GPA haina maana inavyosababisha wanafunzi wengi wa vyuo vikuu kuwa na matokeo duni vyuoni

    Habari wanajamvi, Inabidi tuzungumze uhalisia wanajamvi matokeo ya wanafunzi wengi wa vyuo wa miaka ya hivi karibuni yamekua duni ukilinganisha na vizazi vilivyopita vya miaka 90s,80s,70s, GPA kuanzia 3.8 ni za kutafuta na tochi vyuoni haswa haswa vyuo vya umma Moja ya sababu ni kumekua na...
  12. Elimu ya bongo ina umuhimu mwisho shule ya msingi sekondari na vyuoni ni kupoteza muda tu

    Kwa namna elimu yetu hapa bongo ilivyo na inavyoleta matokeo yasiyo tarajiwa kwa kundi kubwa la wasomi na vijana. Nadiriki kusema kwa asilimia kubwa elimu ya Tanzania ina umuhimu mkubwa kwa shule ya msingi pekee( awali mpaka darasa la 7) ila sekondari na chuo ni kupoteza muda tu. Elimu ya...
  13. Uteuzi: Amani Karume na Anna Makinda wateuliwa kuwa Wakuu wa Chuo

    Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
  14. Ajira za ualimu it might be opportunity Kwa mliomaliza vyuoni recently.

    a maelekezo mpigieni huyo jamaa atawaelekeza coz it's one of those wanaofanyisha interview 0752153535 All the best for all job seekers. Kindly share for others too.
  15. Kwa ninayoyashuhudia Mahospitalini na hata vyuoni kwao, taarifa ya nusu ya wanafunzi wa Udaktari kufeli mitihani yao ya usajili sijashangaa

    Kama unaenda Hospitali kuonana na Daktari anaanza Kukupigisha story za akina Skudu wa Yanga SC na Ngoma wa Simba SC wakati anakuona unaugulia Jino hapo kuna Professional Doctor kweli? Hivi kwa tunaojua jjnsi Kozi ya Udaktari ilivyo ngumu, yenye kuhitaji Umakini mkubwa na Kujisomea Kwingi...
  16. Nashauri Ndoa ifundishwe kama somo shuleni au vyuoni

    Nashauri serikali iweze kuanzisha somo la Ndoa kwa kila mmoja anaekaribia kuingia humo. Hakika wengi wetu tunaingia katika ndoa bila kujua bila kuelewa ndoa nakujikuta tunazama kupitia Mihemko. Ndoa ni familia. Familia ndo jamii na jamii ni Nchi. Hakika kuna haja ya Serikali kuwekeza kwenye...
  17. Vijana wetu wa IT huko vyuoni wanafanya nini? Mbona kimya sana?

    Kibongo bongo kozi za kompyuta tushazoea kuziita kozi za IT ikiwemo computer science, computer engineering, IT, n.k. Maisha ya sasa teknolojia ipo mbali sana na tunatembea, smartphones, internet, apps, n.k. zimekuwa sehemu ya maisha yetu. Hapa bongo pametulia mno utadhani hatuna wanafunzi wa...
  18. Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

    Jamani hela tunazo, wasomi tunao. Tatizo ni nini? Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai, Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi? Wachina, wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini? Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa...
  19. B

    SoC03 Waraka kutoka mashuleni na vyuoni

    ( MDUDU WA AJABU ANAETESA ULIMWENGU SASA KAINGIA MASHULENI NA VYUONI ) Mwanafunzi mmoja wa kidato cha sita anaejulikana kama Nathan, tulikutana mwezi uliopita wakati tumekutana mazungumzo yetu yalikuwa kuangalia namna wanafunzi na wanachuo wanavyoishi wakiwa shuleni na vyuoni, yeye nathani...
  20. G

    Kutuma CV vyuoni

    Habari wana JF, Mimi napenda kuuliza kwa mfano mtu una sifa za kuwa Assistant lecturer kwa maana ya GPA ya at least 3.8 undergraduate na 4.0 masters ukaamua kutuma CV Yako kwenye Moja ya chuo kikuu kabla ya nafasi hazijatangazwa. Je? Chuo kinaweza kukupa consideration ya kukuita na kukufanyia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…