Raia wa Marekani, Brandon Summerlin (31) ameieleza Mahakama kuwa anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) ya kukiri na kuomba kupunguziwa adhabu ili aweze kulimaliza shauri lake.
Summerlin ambaye ni mwalimu wa mafunzo kwa njia ya mtandao, anakabiliwa na shtaka...