Tunakumbushana.
Uchaguzi wa viongozi wa kanisa utakuwa mwaka huu katika GC Session itakayoketi pale America’s Center Convention Complex, St. Louis, Missouri, USA, session ambayo itarudi katika hali yake ya kawaida ya kuketi kwa siku kumi (10).
Ikumbukwe GC Session ya mara ya mwisho iliketi...
Wiki chache zilizopita Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango alizungumzia tuhuma za ubadhilifu wa mali za kanisa na matumizi mabaya ya madaraka ndani ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania.
Leo mchungaji Mwasomola amepigilia msumari tuhuma hizo kama ifuatavyo...
Kwenye Maisha ni hatari sana kuamini wewe tu ndio uko sahihi.
Kuna muda sheria kali za dini zinakosesha watu kufurahia na kuishi kwa amani.
Wasabato mbali na kwamba wanatumia biblia ile ile ya vitabu 66, wanaamini wako sahihi sana kuliko wengine tunakoelea idadi yao ikiwa kubwa wataanzisha...
Wadau hamjamboni nyote?
Hizi ni takwimu uingiaji na utokaji waumini kwenye Kanisa la Waadvetista Wasabato Duniani kuanzia mwaka 1965 hadi 2024
Waliojiunga/ waumini/ washiriki jumla 43,652,857 huku waliojitoa jumla 18,555,581
Niwatakie sabato njema
Taarifa zaidi Kwa kimombo hapo chini...
Ni wazi kuwa huyu ndugu Mafwele ni mshiriki wa kanisa la Waadventista Wasabato.
Kwakuwa mwongozo wao wa kanisa unasema kuwa kuvunja moja ya amri 10 za Mungu ni kosa linaloweza pelekea adhabu dhidi yako, basi naomba kanisa limhoji ndugu Mafwele na ashike Biblia mbele ya baraza la kanisa aape...
Wadau hamjamboni nyote?
Naomba sana moderator uache huru Uzi huu Tafadhali
Kichwa cha habari chahusika?
Siyo mahubiri au Vitabu kote huko lazima ukute mifano yote hasi dhidi ya Kanisa Katoliki
Napenda kujua haiwezekani ikahubiriwa injili bila kufanya hivyo?
Ni chuki? Wivu? Propaganda...
Sabato ama ka neno lake asili la kiyahudi shabbāth ni neno lenye kumaanisha mapumziko
Mwenyezi Mungu kaweka amri ya kuitakasa siku ya Sabato ndani ya zile amri 10, ni jambo kubwa sana kwetu, Ni kibali kitakatifu kinachotupa ruhusa ya kupumzika siku moja kila wiki ya siku 7. Utaratibu wa...
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.