waafrica

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kisa hiki kina funzo kubwa sana hasa jinsi waafrika tunavyowaza

    Kuna mambo ambayo tunayafanya sisi Ngozi nyeusi yanatatiza sana hadi unabaki na maswali hivi hili limefanywa na binadamu mwenye akili sawasawa kweli? Kuna visa kadhaa wa kadhaa ambavyo nimewahi kusoma sehemu tofauti tofauti na vingine kuvisikia kwa watu hasa haw wahamasishaji. Moja kisa hii...
  2. J

    Waafrica acheni uzuzu na hizo dini zenu za mapokeo kutoka kwa watu wasio wapenda

    Aise mimi naishi Marekani lakini nina ndugu wengi wanaoishi Tanzania. Na karibu ndugu zangu wote ni waumini wa hizo dini tulizo letewa na waarabu na wazungu ili kutupumbaza. Sasa cha kushagaza hawa ndugu zangu kwa mwezi huu wamekuwa wakinipigia simu kuniuliza kama mimi naishi karibu na huko...
  3. Technophilic Pool

    Je, ni kweli kua Wairan waliungana na waafrika kuwaondoa waarabu Zanzibar kwa kuunda Afro-Shirazi Party (ASP)?

    Kwa wasiofahamu washiraz ni jamii ya ya watu huko iran kama kabila hivi. Achana na washirazi wa hapo unguja na mafia naongelea washiraz original. Hawa wanaweza kua ni kabila lililokua na mchanganyiko wa wairan hao wa zamani ndipo wakajiita washiraz Sasa twende basi, unakumbuka chama cha Afro...
  4. D

    Kwanini Wazungu ndo huwa wanatoa scholarship ya kusoma na siyo Waafrika? Mmeshawahi kujiuliza?

    Mi mara nyingi nawaombea wazungu waendelee kufaniakiwa kila wakati mana niwatoaji sana na wana utu. Ndo mana utawakuta watu au wanafinzi wako busy kuapply scholarships huko ulaya au marekani ila kinyume chake haiwezekani. Miafrika ni mibahili na ina roho mbaya sana na michawi haipendani ndo...
  5. T

    Kwanini China haina Waafrika?

    Hili swali nimekuwa najiuliza sana nini kimepelekea haya mataifa yenye hii race ya kichina hayana waafrica!? Tofauti na mataifa ya huko ulaya na marekani ambako utaipata hata viongozi wakubwa kabisa wenye asili ya Africa. Sio kwamba wanatudharau sana!?
  6. Mr Chromium

    Why the world is ignoring Congo (DRC) ! Si kweli Waafrika ndio tunapuuziana kwasababu Kujichukia

    Nikisikia hii kauli najiulizaga WTF? Labda umesikia kauli kama hizi youtube, kwene website au social media Lakini ukweli ni kwamba waafrica wengi na viongozi wengi ni kina TIP TIP Asiejua historia Tip tip alikua kinara wakuuza wafrica wenzie kwa waarabu. Mgogoro huu wa CONGO una miaka zaidi...
  7. Technophilic Pool

    Kwanini Waislam wa Africa hutawakuta wanapaza sauti kupinga mauaji ya waafrica wenzao wanauliwa na RSF kundi la kiarabu?

    Mi sijawai ona kiongozi yyte wa dini ya kiislam hapa tz au vijana mitandaoni wakipambana kupinga haya mauaji ambayo yanalenga kumuondoa kama si kumfuta mtu mweusi Sudan. Na hawa ni waislam wenzao
  8. Ritz

    Mwendesha Mashtaka wa ICC afichua kutumiwa vitisho na Kiongozi mkuu wa nchi za Magharibi kuwa ICC imeundwa kwa ajili ya Afrika

    Wanaukumbi. Mwendesha Mashtaka Mkuu wa ICC, Karim Khan, akifanya mahojiano na CNN afichua kuwa ametumiwa vitisho na kuna "kiongozi mkuu [wa Magharibi]" amemwambia ICC "imeundwa kwa ajili ya Afrika na kwa majambazi kama Putin", na si kwa ajili ya Magharibi na washirika wake. Marekani na nchi...
  9. Boss la DP World

    Huyu Mzungu kawatukana Waafrica?

    Nimesikitika sana baada ya kusikia kauli ya mzungu mmoja anayefanya shughuli zake mkoani Arusha. Alikuwa akiongea kuhusiana na umeme kukatika, maji na changamoto za miundombinu mingine akasema eti mambo hayo huwa yana reflect uwezo wa kufikiri wa viongozi. Sasa nikawa najiuliza kuna uhusiano...
  10. gstar

    Lini Waafrica tutaachana na tamaduni hizi?

    1. Kuvunja nazi njiapanda. 2. Kwa mama ntilie kupika chakula na maji yaliyooshea maiti / yaliyo tawaziwa. 3. Kuchukua watu misukule. 4. Kuwanga usiku. 5. Kufuga majini. 6. Kuhudhuria kwa waganga wa kienyeji. 7. Kugeuza watoto wetu mandondocha ili tupate utajiri. 8. Mwanamke kumlisha...
  11. Unique Flower

    Hivi ni kwanini Waafrica wanawaogopa wazungu?

    Naomba kujua hili. Wanawapelekesha , Wanawatumikisha Wanakaripia lakini wala hamlalamiki mnaona sawa tu ni kwanini, yaani tuseme tu wenye sura nyeupe , nyeusi wanawahanya sana. Hata dada mweupe watu wanamuhanya. Huwa shida nini? Au wao ni nuru nyie ni giza maana sio kiasi hicho.
  12. Nkobe

    Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye...
  13. A

    Mizimu ya Afrika inatushangaa waafrica

    Moja ya jambo la ajabu so TANZANIA bali takribani mataifa Yote ya Africa, somo la kiingeleza yaani English ni compulsory ilhali somo la kilimo yaani agriculture ni option. Hivi sisi wa Afrika nani alieturoga. Mizimu inaumia sana inap ona hivi vituko.
  14. D

    Waafrica mara nyingi ndo wanaosababisha viongozi wao kuwa madictator bila kupenda kwao.

    Hiki kinachoendelea hapa kwetu Tanzania siyo ukosoaji Bali matusi tena ya nguoni. Hakuna demokrasia ya hivi hata ulaya au marekani haipo. Kinachofangika Tanzania kwa Sasa ni kumlazimisha Samia kuwa dictator kama jpm tu. Ndo mana kumbe jpm alichagua kuwa dictator na kuwapoteza au kuwaua watu...
  15. Saad30

    Bila dini sisi Waafrika tusingeishi?

    Habari wakuu. Nimeekaa na kuwaza na kuwazua hizi dini zimeletwa tumuogope MUNGU au tumpende MUNGU? Miaka ya tangu na tangu kulikuwa hakuna dini ila tuliamini kwamba kuna mbaye anaongoza hii dunia na vilinyo ndani yake.Tulitumia miti shamba kupona maradhi. Je ,Mababu zetu na mabibi zetu...
  16. Komeo Lachuma

    Pole Mzee Kikwete, hii dharau wanayo hata black Americans kwa waafrika ndugu zao. Hawaangalii hata wa kuwafanyia Uhuni

    Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni. Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na wasanii wengi wakiwemo boys 2 men. Kuna ambao aliweza pata picha zao akaja akapost na kuweka...
  17. P

    Asili yetu waafrika ni nini? Mbona ni watu wa ajabu na hatuonyeshi ikiwa tunauwezo wa kuwakomboa watu wetu?

    Tuko tayari kupandishwa kwenye bas na wazungu tukienda kwao, Ila sisi hatuko tayari kupunguza na kuacha uagizaji wa magari ya kifahari yanayokula kodi nyingi za watu wetu Ukiacha wazungu na wenye asili ya Kiyahudi, tuliobaki ni binadamu tuliotokana na nini? Mbona siamini nikionacho baada ya...
  18. kyagata

    Hivi sisi waafrika ni binadamu kamili au bado tuko katika transition stage?

    Hivi sisi ni binadamu kamili kweli au bado tuko katika transition stage? Huko Uganda binadamu wanakulana wenyewe kwa wenyewe kama wanyama pori. Sikiliza clip hiyo hapo nimeiambatanisha.
  19. Brodre

    Je, ni muda wa Watanzania na waafrika kuamka?

    Mwaka 1941 wakati wa vita ya pili ya dunia tuliona wapolish wengi walikimbili Africa kama wakimbizi na tuliwapokea kwa mikono miwili. Janga la corona tumeona Waafrica wanavochukuliwa. Sasa hii imetokea mpakani mwa Poland waafrica wanazuiwa kuvuka mpaka kuingia poland kutoka Ukraine wakati wa...
  20. M

    Waafrika tuwe wachoyo kutoruhusu wageni kuja kuzaa na kuchuma kwenye bara letu

    Mzuka wanajamvi! Naandika huu uzi nikiwa na jazba na hasira Sana. Familia ya Elon Musk ni wazungu Africa kusini iliwakaribisha. Elon Musk akazaliwa Africa kusini kulelewa katika bara letu. Elimu ya awali msosi hewa yote kuvuta ni ya bara letu. Amekuwa kupitia ardhi ya bara letu. Iweje leo...
Back
Top Bottom