Habari wakuu.
Nimeekaa na kuwaza na kuwazua hizi dini zimeletwa tumuogope MUNGU au tumpende MUNGU?
Miaka ya tangu na tangu kulikuwa hakuna dini ila tuliamini kwamba kuna mbaye anaongoza hii dunia na vilinyo ndani yake.Tulitumia miti shamba kupona maradhi.
Je ,Mababu zetu na mabibi zetu...