Ndio maana inafikia kipindi wanafunzi wanapigwa, ni kwasababu ya kulazimisha mtu afanye asichokipenda by nature. Kuna shuhuda nyingi sana utazisikia, "Bila viboko nisingeweza shule". Hata wale wanaosoma kwa bidii shuleni ni kwa lengo la kupata vyeti wakiwa na mategemeo ya kimaslahi hasa ajira...