Kumchelile? Kwali mwenga!
Kila nikipita humu JF lazima nikutane na Uzi unazungumzia ukatili wa mwarabu. Miaka yangu yote ya kuperuzi humu jf imekuwa hivyo. Na zaidi ni kwa namna gani waarabu wanawachukia, wanawatenga na wanawatesa watu weusi. Nikajikuta nikiwa muumini wa Imani hiyo miaka yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.