waagizaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka Thamani dhidi ya Dola

    Maumivu kwa Waagizaji Bidhaa Nje, Shilingi ya Tanzania yazidi kushuka thamani dhidi ya Dola Watanzania sasa wanalazimika kuingia zaidi mifukoni mwao ili kulipia zaidi katika uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi huku kukiwa na hali ya kutia wasiwasi juu ya kuendelea kuporomoka kwa shilingi...
  2. Niulize chochote kinachohusu 'clearing' za mizigo bandarini

    Nafanya clearing za mizigo ya aina yote bandarini. Mawasiliano: WhatsApp & Call 0652802379
  3. Marufuku kusafirisha Mahindi kutoka Tanzania bila kibali cha BRELA

    Wafanyabiashara wanaoagiza mahindi kutoka Tanzania watahitajika kujisajili na BRELA, kupata kibali cha biashara na kuwasilisha cheti cha kibali cha kodi kilichotolewa na BRELA kabla ya kusafirishwa nje ya nchi Notisi iliyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Tanzania inawataka wafanyabiashara wa...
  4. Special thread: Kutana na waagizaji wa magari kutoka Japan

    HABARI YA MAJUKUMU? KIMOMWE MOTORS (T) LTD, TUNAPENDA KUKUKARIBISHA KUAGIZA GARI LAKO KWA GHARAMA NAFUU, HARAKA NA UHAKIKA KUPITIA KAMPUNI YETU. VILE VILE TUNAKUKARIBISHA KATIKA FURSA YA BIASHARA YETU NA UKAWEZA KUTENGENEZA KIPATO CHA ZIADA ENDAPO TU UTAWEZA KUAGIZA GARI AMA KUMLETA MTEJA...
  5. K

    Waagizaji wa magari SakuraMotors Japan

    Wakuu Poleni na pilika za maisha,nilitaka kujua endapo kuna mtu anaifaham kampuni ya kuuza Magari inaitwa SaKuraMotors nimeona gari nzuri kwao nilitaka kuiagiza lakini hawana ofisi bongo je kuna watu mmewahi kufanya na huwa jamaa biashara?ni waaminifu ?maana matapeli wamekuwa wengi..Natanguliza...
  6. E

    Waagizaji wa smartphone China jumla/rejareja

    Habari za muda huu! Rejea kichwa cha habari hapo Juu sisi ni waagizaji wa smartphones kwa gharama nafuu kutoka China specialized kwenye iphone na Samsung. Mzigo hutumia siku 8-14 kwa maana haizid week 2 unakua ushapata simu yako mpya kabisa na kwa gharama nafuu mno wote tunawakaribisha Kuanzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…