Ni hatua zipi za ziada waajiriwa wapya wafuate ili waweze kulipwa pesa zao za kujikimu maana shida zinaonekana ziko kwa ma DT wamefanya zibadilike majina na kuwa pesa za ziada
Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
Kwanini taasisi nyingi za serikali haziwalipi waajiriwa wapya pesa za kujikimu kwa wakati?
Nimesikia kauli iliyotolewa bungeni na waziri naibu wa habari, tamaduni na sanaa na michezo Hamis mwinjuma kwamba wachambuzi wote lazima waende shule kwanza ambapo amedai kwamba ni kutokana na sheria ya vyombo vya habari ya mwaka 2016 kifungu cha (19)1,
Katika uhalisia sheria haikumaanisha...
Wengi mnaona biashara ni kama mgodi.
Ni heli ukope ujenge kibanda chako uhamie na familia yako, lakini sio ukope uende kuanzisha biashara kama beginner.
Labda kama wewe ni mpigaji, unapata pesa za kutosha nje ya system ila wale wenzetu upo chini ya salary na malupu lupu, baba na mama wanauza...
Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote.
Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote za uendeshaji wa taifa hili. Nianze na
wale ambao ndiyo Kwanza wanaajiriwa,
1.Usipende kutamani...
chanzo gazeti la mwananchi la jana 19 Dec 2024
Ila mimi kwa mawazo yangu waache kuonea watumishi wa umma.Wangeenda mbali zaidi na Wanasiasa hadi Bungeni.
kuna baadhi ya mambo wanapitisha mpaka unawaza wanafikiria kwa kutumia matumbo au kichwa?
Ni mambo yapi ambayo mnafikiri wabunge wetu wakati...
Wana Jf mko poa? Aisee wale wenzangu namimi wa sekta binafsi, tuambizane kama nyie mna Afya ya akili makazini kwenu.
Picha linaanza unaingia ofisini saa2 unaondoka saa11, ni lazima sio matakwa tu.
Halafu mshahara wako ambayo ni haki Yako, unapata tarehe 37, 38, 39 sometimes mpaka hata tarehe...
N:B: Waajiriwa wa serikalini
Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi, utarudi hapa na data kwamba almost 75% ya wanaoishi ni waajirwa, Hao 25 % waliobaki wanaweza kuwa...
Ndugu wataalam wa fedha, wachumi na wabobevu wa mambo ya pesa.
Nauliza ni benki gani inatoa mikopo walau yenye riba nafuu kwa waajiriwa wa serikali, kuna mfanyakazi mwenzangu amekopa benki moja kongwe hapa nchini, naona kama riba kubwa sana, angalia hapa
1. MKOPO-16,000,000/
2. MUDA-MIEZI 60...
Hii ni shule ya mtu binafsi ina matawi mawili Madale na Ubungo.
Mmiliki wa shule hizi anatumikisha vijana bila kuwalipa anawalisha tu chakula cha wanafunzi na kuwatunza kama wanafunzi ila hawapati posho zao kama wanavyoahidiwa mwanzo.
Mtu ameanza kazi miezi mitano bila kulipwa ukidai anakujibu...
Lets say take home yako baada ya makato yote ni shilingi X per month.
Umeanza biashara yako au umetoka nayo mbali, upepo unavuma wa pesa direction yako yani kila wiki au kwa siku kadhaa chache unafunga hesabu kwa faida ya X.
Kusema kweli hapa ndipo unapoanza kuona ajira ni utumwa hasa zile...
=========
Africa is buzzing with lively economies, all thanks to the hard graft of its people. The continent has even been dubbed the world's future workplace due to its ballooning young population. However, beneath the surface of economic growth lies a huge challenge, stress in the workforce...
Wakuu mimi sina mambo mengi sana hapa najaribu kufikiria, hivi Mh. Shabiby aliwaza kweli kuwa kuna watu ambao wao wanakatwa bima moja kwa moja kwenye mishahara yao?
Hawa wataondolewaje kwenye huo mfumo aliopendekeza sababu na wao ni wamiliki wa simu watakaokatwa bima mara mbili.
Labda...
Habari za Asubui wana JF,
Naomba kuleta mada kwenu kuhusu haya mashirika ya kigeni yanayojiita ya kusaidia binadamu (humanitarian) au kujiita mashirika ya kimataifa yasiokuwa ya kiserikali (INGO). kwa mfano; Medecins sans frontieres, Medecins du monde na mengine mengi.
Kwanza kabisa mimi ni...
Kuna hawa wafu wanaitwa Mramba, kila likitokea tatizo la umeme lazima wajitokeze mbele na stori nyingi zisizobadilika.
Ningependa kufahamu hawa ni wamiliki wa TANESCO au wanahisa au wamesomea sana umeme na kwamba bila wao umeme hautakuwepo Tanzania?
Kuna siri gani kati ya familia ya Mramba na...
Kwako waziri husika, sanasana hapo Tamisemi.
Kwanza nitoe shukrani kwa Rais wa Tanzania, kwa kuweza kutoa ajira, hatimaye nikaitwa kufanya usaili na mwisho wa siku nikapata ajira na kupangwa halmashauri ya karatu.
Kwakweli huu mchakato wa kuingia kazini kwa baadhi ya waajiri wapya umekuwa...
Habari wana JF,leo napenda niongelee ubabaishaji wa halmashauri zetu kwenye kuwapa stahiki zao waajiriwa.
Tunakumbuka mwezi wa 6 mwaka huu 2023 serikali iliajiri watumishi wapya kada ya afya na elimu na pia ikasisitiza wapewe fedha za kujikimu.
Napenda nipongeze kwa halmashauri zote ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.