Hivi karibuni kumekuwa na usaili wa ajira mbalimbali ambao umefanyika na unaendela kufanyika Pemba na Zanzibar.
Kwa upande wa ajira za Ualimu kwa mfano Ilitoka list ya walioitwa Interview ya kwanza ya maandishi (written interview) na haikuzidi siku tatu list ya Interview ya pili ya ana kwa ana...
Anonymous
Thread
ajira zanzibar
tume ya utumishi zanzibarwaajiriwawapyazanzibar