Nakumbuka 2018 nilikuwa na pikipiki Tatu. Mbili Boxer Moja Haugue, nikatafuta Vijana Watatu.
Vijana wawili waliochukua Pikipiki za Boxer nikawaambia badala wanipe elfu 10 Kwa Siku kama bodaboda Wengine wafanyavyo Kwa maboss zao Mimi nikawaambia wanipe elfu 8. Kwa wiki wantumie elfu hamsini...
Habarini Wadau?
Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie Mikataba ya Kisheria ili tuweze kufanya kazi kwa uhakika zaidi.
Aliye tayari tuwasiliane inbox.
Ukiangalia "efficiency" ya Jean Baleke alipoingia Simba kwa maana ya matumizi sahihi ya nafasi za kufunga magoli, utakubaliana na mimi kuwa jamaa alikuwa suluhisho la matatizo ya ufungaji yaliyokuwa yanaikabili Simba. Jamaa alipokuja alikuwa anafunga magoli magumu sana bila kutumia nguvu...
Huu mkasa ulitokea kama miaka miwili imepita, dogo wangu alivyomaliza chuo akapata kazi shirika Moja binafsi, akafanya huko kama miaka minne akaanza mazoea ya kunipiga vizinga Tabia ambayo alikua Hana, nikapigwa vizinga weeee mpaka nikachoka, mawazo yakanijia huyu dogo kaajiriwa na Kuna kipindi...
Kuna baadhi ya madili hufichuliwa na kutangazwa kwenye runinga. Mfano, mafuta kwenye bandari bubu nk. Je, wahusika hukosa posho ya kuwapa polisi au Kuna baadhi ya polisi hawapendi posho.
Mimi nimeona madili mengi polisi wakipozwa. Kwanini baadhi ya madili unaitiwa mpaka waandishi wa habari...
Inategemeana na unavyoyatumia!
Yanaweza kukufanikisha!
Yanaweza kukukwamisha!
Yanaweza kukutajitisha!
Yanaweza kukufukarisha!
Leo yako ni matokeo ya maneno ya Jana. Kesho yako haitakuwa tofauti na maneno yako ya leo. Kama hujajizoesha, bora uanze sasa. Tumia kinywa chako kwa makini sana...
Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.
"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu...
MBUNGE CONDESTER SICHALWE: WATU WASIO WAAMINIFU, WALIOAMINIWA WANAJIFICHA KWENYE DHAMANA WALIZOPEWA KUUMIZA WATANZANIA WENZAO
"Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyofanya kazi vizuri. Anapambana na kuhakikisha hata Wabunge tunaotojea Majimbo ya Vijijini tunapata fedha kwenye...
Unaambiwa tokea Jumatatu waliamua Kukesha kuulinda Uwanja Wao wa Highland Estates Mbarali na Kuwakatalia Waliowafunga wasiingie Uwanjani Kuroga na Kufukia Mauchawi yao.
Jana Jumanne Makomandoo wa Ihefu FC waliokuwa Wakiulinda Uwanja walionyeshwa Fedha ili Wawaruhusu Waganga na Wachawi Wao (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.