Waandishi wa Habari Wawili wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) na mmoja wa EATV wamekamatwa na Jeshi la Polisi walipokuwa wakiripoti katika #Maandamano ya Amani yaliyoitishwa na CHADEMA.
Waandishi wa MCL waliokamatwa ni Michael Matemanga aliyekamatiwa Msimbazi na Lawrence Mnubi...