"Juzi (Jumatatu Januari 27, 2025) ilikuwa nizungumze kama mtendaji mkuu nieleze katika kuingia huku upya katika uongozi kama Katibu Mkuu ni mambo gani ningeyapa kipaumbele kama Katibu Mkuu lakini vilevile ilikuwa niwatangazie watanzania juu ya ujio wa Mwenyekiti, sasa watawala wakaingiwa hofu...