NiRC Dodoma
TUME ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imesema kutokana na uwekezaji mkubwa alioufanya Rais Dk.Samia Suluhu Hassan katika miradi ya umwagiliaji ni muhimu wahandisi wa taasisi hiyo kusajiliwa.
Lengo ni kuhakikisha wanaosimamia miradi hiyo wanakidhi vigezo na wanatambua wajibu...