Tarehe 29 ya mwezi wa sita M23 wameichukua Kanyabayonga Kaskazini mashariki mwa Congo na wanaelekea Butembo. Sasa naona wanacheza karibu na nyumbani ili likitokea la kutokea wakimbilie nyumbani kwao.
M23 waliichukua Kanyabayonga ijumaa baada ya wiki mbili za mapigano na vikosi vya serikali ya...