Wakati matukio ya ulawiti na ubakaji yakionekana kuongezeka nchini na Serikali kuwachukulia hatua baadhi ya watuhumiwa ikiwemo kuwafikisha kwenye Vyombo vya Sheria, lakini katika hali ya kusikitisha, vitendo hivyo vinaendelea kuacha maumivu yanayotokana na athari za Kisaikolojia kwa waathirika...