wababa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Natoa Huduma ya massage kwa wababa na wamama wanaosumbuliwa na migongo

    Hello.. karibuni sana wote ambao mnahitaji huduma ya massage. Nipo mm na wenzangu. Tuna timu yetu mikoa mbali mbali. Mimi binafsi nipo dar es salaam. Namba yangu ni 0787264085. Karibuni sana wote kwa huduma nzuri. Asante
  2. Wababa wenye magari, kwanini mnasimama kwa dakika kadhaa kabla ya kuingia majumbani mwenu?

    Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa. Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo? Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na...
  3. Mariam Sagini: Wababa wamekuwa wavivu wanaenda kwa Waganga kutafuta utajiri, Watoto wanaharibika

    Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa, Mariam Sagini amesema kina baba wamekuwa wavivu wa kufanya kazi inafikia mawazo yanawapeleka kwa waganga kutafuta utajiri na huko wanapewa masharti ya kubaka mtoto wake wa kumzaa. Akizungumza na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi katika Kata ya Nsemulwa Wilaya ya...
  4. Wataalamu wa Taasisi ya Ocean Road wafanya vipimo vya Saratani bure Mkoani Mara, Wababa waongoza kujitokeza

    Taasisi ya Saratani ya Ocean Road imeendelea na kampeni ya kutoa elimu, vipimo na matibabu ya Saratani katika mikoa mbalimbali Nchini Tanzania, ambapo safari hii timu yao imefika Mkoani Mara. Wataalamu wabobezi wa Saratani ya Ocean Road wamewasili Mara tangu Jumatatu ya Juni 12, 2023 na...
  5. Mzazi usimroge mtoto wako, mbariki

    Tafadhali, kama haujatajwa, kaa mbali na huu uzi! Huu uzi ni mahsusi kwa ajili ya watajwa tu, Wababa wenye Akili na Wamama wenye akili. Kuna mambo makuu mawili kwa walengwa: onyo na ushauri Onyo: USIMLOGE MWANAO. Ushauri: MBARIKI MTOTO WAKO. Kwenye mojawapo ya vitabu vya Robert Schuller...
  6. Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

    Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond...
  7. Wababa mliotelekeza watoto subirini mpaka mtafutwe na watoto wenu, acheni usumbufu!

    Anaandika, Robert Heriel Sakata la Ommy Dimpoz na baba yake linanifanya na mimi nipigilie msumari kusisitiza. Kuna wanaume wenye tabia za kizamani kuwa ati, anaacha kwa makusudi kabisa kulea mtoto wake halafu anakuwa na mtazamo kuwa; "Akikua atanitafuta, atamtafuta baba yake". Hiyo tabia ipo...
  8. R

    Angalizo wababa: Mtoto wa kambo si wako, usitarajie haki zisizokuwa zako

    Ukiwa na uhusiano na mwanamke mwenye mtoto, hasa wa kiume, siku zote yule mtoto anakuona kama mvamizi kwenye maisha yake na mama yake. Na akikua kidogo akajua unamnyandua mama yake, ujue atakuchukia kishenzi, wivu kabisa ule wivu wa kiume. Atakuvumilia tu kwa kuwa unampa mama yake pesa, lakini...
  9. Nywele za bandia kwa wababa wenye vipara

    Tayari mchina kishafanya yake. Wale wababa na wakaka wenye vipara wasiopenda vipara vyao, sasa mmeletewa nywele za bandia. Kazi kwenu.
  10. M

    Wababa/wakaka tusitelekeze watoto so sad

    Naomba Unipostie Nimechanganyikiwa vibaya mnooo Nilihama Mkoa kikazi Hivyo Nikaingia Kwenye Mahusiano Na Mwanaume Mmoja hivi Aliniambia anatoka mkoa naotoka Lakini yeye Amekaa huku dar Toka mdogo Sana Pindi tu mama yake alipoachana na baba yake.. Naomba Mnielewe Hivi viatu so size Yangu. Basi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…