Bunge la Madagascar limeidhinisha sheria mpya ambayo itawafanya watu waliopatikana na hatia ya unyanyasaji wa kingono kwa watoto kuhasiwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela.
Kwa mujibu wa sheria mpya, wanaopatikana na hatia ya kubaka watoto wenye umri kati ya miaka 10 hadi 13, watahasiwa kwa...